Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga Vs Kagera Suger 01/02/2025, Habari siku ys jumamosi ya tarehe 01/202/2025 mabingwa watetezi wa ligi kuu ya NBC watakua nyumbani katika uwanja wa KMC Complex wakiikalibisha klabu ya Kagera Sugar kutokea jijini Kagera.
Mchezo huu ni mchezo wa kumalizia hatua ya mzunguko wa kwanza ambao haukufanyika hapo awali kutokana na ushiriki wa klabu ya Yanga katika michuano ya kimataifa ya klabu bingwa Afrika. Yanga anaingia uwanjani kumenyana na Kagera Sugar baada ya kutolewa katika hatua ya makundi huku kwenye msimamo wa ligi kuu ya NBC akiwa katika nafasi ya 2.
Kuelekea mchezo huu tayari bei za tiketi zimesha tangazwa na hapa katika makala hii tutaenda kukuonyesha vituo vya kununulia tiketi za kwenda kutizama mchezo huu katika dimba la KMC Complex jijini Dar es Salaam maeneo ya Mwenge.
Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga Vs Kagera Suger 01/02/2025
Hapa chini ni orodha ya vitua ambako mashabiki wa soka wataweza kunualia tiketi za kwenda kutizama mchezo huu
- Young Africans – Jangwani
- Vunja Bei – Dar Es Salaam Shops
- T-Money Ltd – Kigamboni
- Gitano Samweli – Mbagala Zakiem
- Khalfan Mohamed – Ilala
- Lampard Electronics
- Godwin Fredy – Geita
- Twisty Investment – Geita
- Gwambina Lounge – Gwambina
- Karoshy Pamba – Dar Live (Zakhiem)
- Antonio Service – Sinza, Kivukoni
- Tumpe Kamwela – Kigamboni
- Sovereign – Kinondoni Makaburini
- View Blue Skyline – Mikocheni
- Mkaluka Traders – Machinga Complex
- New Tech General Traders – Ubungo
- Sabana Business – Mbagala Maji Matitu
- Juma Burrah – Kivukoni
- Juma Burrah – Msimbazi
- Alphan Hinga – Ubungo
- Mtemba Service Co – Temeke
- Jackson Kimambo – Ubungo
- Shirima Shop – Leaders
Bei za Tiketi Za Mchezo Huu
Kwa mashabi wa soka wanaotarajia kwend katika uwanja wa KMC Complex kuweza kushuhudia mchezo huu live basi ni vyema kuweza kutambua bei za tiketi na hapa kwa kifupi zaidi tumeweza kukuwekea viingilio vya mchezo huu.
Mzunguko – Tsh 10,000
VIP A – Tsh 20,000
Mambo ya Msingi ya Kuzingati Kwenye Mchzo Huu
1. Hakikisha kama unaenda uwanjani uweze kununua tiketi mapema zaidi
2. Kama ni shabiki wa Yanga au Kagera Sugar basi unaweza kuvaa jezi ya timu yako
3. Hakikisha unafika uwanjani mapema zaidi na kukaa kwenye kiti chako
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Viingilio Mechi ya Yanga vs Kagera Suger 2 February 2025
2. Tabora Utd vs Simba Sc Leo 2/02/2025 Saa Ngapi?
4. Tazama Hapa Makundi ya AFCON 2025