VITA ya Ubingwa NBC Premier League 2024/2025
Ikiwa msimu wa 2024/2025 wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara unaelekea mwisho vita ya nani atakua bingwa wa msimu huu inaendelea kua kali huku timu kubwa za ligi hii Simba Scna Yanga Sc ziki zidi kuonyeshana ubabe.
Hadi kufikia sasa ligi kuu ya NBC Tanzania bara imesalia na michezo 3 jumla ya michezo 27 imesha chezwa. Msimamo wa ligi kwa nafasi ya kwanza na nafasi ya 2 ni utofauti wa alama 1 tu.
Yanga Sc aliyoko katika nafasi ya kwanza inaongoza ligi ikiwa na jumla ya pointi 73 huku ikisaliwa na michezo 3 tu kukamilisha michezo yote 30.
Huku Simba Sc iliyoko katika nafasi ya 2 inajumla ya pointi 72 pointi moja nyuma ya klabu ya Yanga Sc huku ikiwa imecheza michezo 27 na kusalia na michezo mitatu tu.
Mechi za Yanga Sc Zilizobakia Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
Mechi za Simba Sc Zilizobakia Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
Kama ikitoke timu zote 2 zikashinda michezo miwili ya mwisho basi mchezo wa derby ya karia koo ndio utakao amua nani bingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu huu wa 2024/2025.
Uamuzi wa Mchezo wa Simba vs Yanga Kwa Bingwa wa Ligi Kuu ya NBC Msimu wa 2024/2025
Kulekea mchezo huu baada ya timu zote kushinda michezo yote miwili ya mwisho matokeo yatakua hivi
- Yanga Sc Alama 79
- Simba Sc Alama 78
– Kama mchezo utamalizika kwa Yanga kuibika na ushindi basi yanga atakua amefikisha alama 82 na ataawazwa kua bingwa wa ligi kuu ya NBC 2024/2025
– Kama Simba Sc itaibuka na ushindi katika mchezo huu basi Simba ndie atakuwa bingwa wa ligi hii kwa kufikisha pointi 81.
– Pia kama mchezo utamalizika kwa sare ya aina yoyote ile basi Yanga atakua bingwa kwani atamaliza ligi akiwa ba pointi 80 huku Simba akiwa na pointi 79.
Swali ni je nani kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara 2024/2025.
Embu acha utabili wako kwenye comment hapo chini