Vinara wa Magoli ya Vichwa Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025
Huku ikiwa ligi kuu ya Tanzana bara imeingia msimu wa 2 na wachezaji wakizidi kuonyesha umahiri wao katika kufunga magoli kuelekea kumsaka mfungaji bora wa msimu wa 2024/2025. Hapa katika makala hii tutaenda kukuwekea listi ya vinara wa magoli ya vichwa katika ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu wa 2024/2025.