
Ikiwa sasa kombe la shirikisho Afrika limefikia hatua ya Fainali kwa kubakiwa na timu 2 tu Simba Sc ya kutokea nchini Tanzani na RS Berkane ya Nchini Morocco, Huku ikitazamiwa mchezo wa duru ya kwanza kufanyika tarehe 17 May 2025 nchini Morocco na mchezo wa duru ya pili kufanyika 27 May 2025 nchini Tanzania.
Maelezo ya Michuano ya CAF Confederetion CUP
Ligi ilikua na mechezi zenye mvuto huku mashabiki wa soka barani Afrika na duniani kwa jumla wakistushwa na matokeo ya baadhi ya michezo kwa kutolewa kwa timu kubwa na zenye uzoefu katika michuano hiyo. Sfari ilikua ndefu kwa klabu zilizofikia hatua ya fainali huku zikipitia vipindi vigumu na vya furaha kwa matokeo mazuri.
Vinara wa Clean Sheets CAF Confederation CUP 2024/2025
Kuelekea kuhitimishwa kwa kombe la shirikisho Afrika (CAF Confideretion Cup) kwa msimu wa 2024/2025 kisiwa24 Blog tumeamua kuangazia magolikipa vinara wa clran sheets kwenye michuano hii ya kombe la Shirikisho Barani Afrika kuanzaia katika hatua ya makundi hadi Sasa wakati wa fainali.
Hapa chini ni orodha ya nagolipipa vinara wa clean CAF Confederation CUP kwa msimu wa 2024/2025
# | Player | Mechi walizocheza | Clean Sheets |
---|---|---|---|
1 | Munir Mohand Mohamedi | 8 | 7 |
2 | Sage Stephens | 8 | 6 |
3 | Cheikh Ndoye | 7 | 5 |
4 | Moussa Camara | 9 | 5 |
5 | Oussama Benbot | 7 | 4 |
6 | Lesenya Malapela | 7 | 3 |
7 | Ayayi Charles Folly | 8 | 3 |
8 | Zakaria Bouhalfaya | 7 | 3 |
9 | Mohamed Awad | 4 | 3 |
10 | Mahmoud Gad | 8 | 3 |
11 | Kheireddine Boussouf | 4 | 1 |
12 | N’Golo Traoré | 3 | 1 |
13 | Sami Helal | 1 | 1 |
14 | Aymen Dahmen | 6 | 1 |
15 | Mehdi Maftah | 1 | 1 |