VIINGIO Yanga vs Wiliete Sc Leo 27/09/2025 CAF Champions League

Leo klabu ya Yanga Inaenda kuikaribisha klabu ya Wiliete Benguela katika mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa barani Afrika. Mcheo huu utafanyika leo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

VIINGIO Yanga vs Wiliete Sc Leo 27/09/2025 CAF Champions League

Hapa chini ni Viingilio vya mchezo wa leo kati ya Yanga Sc vs Wiliete Benguela

  • Mzunguko; 3,000
  • VIP C; 10,000
  • VIP B; 20,000
  • VIP A; 30,000

error: Content is protected !!