
Baada ya michezo ya round ya 30 ya ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2024/2025 kumalizika siku ya jumapili ya tarehe 22 june 2025. Tarehe 25 Taifa linaenda kushuhudia Derby ya Kariakoo baina ya klabu ya Yanga na Simba.
Mchezo huu kwa timu hizi mbili ni mchezo wa kiporo utakaoenda kukamilisha michezo yote 30 kwa timu hizi na kuamua nani kua bingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2024/2025
Melezo Ya Mcheoz
Ligi: Ligi kuu ya NBC 2024/2025
Mechi: Mchezo wa 184 (Kiporo)
Timu: Yanga Sc vs Simba Sc
Uwanja: Benjamini Mkapa, Dar es Salaam
Muda: Saa 10:00 Jioni
VIINGILIO Yanga Sc vs Simba Sc 25 June 2025
Hapa chini ni viingilio vya mcheoz wa Yanga Sc vs Simba Sc klabu tarehe 25 juni 2025