MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA
VIINGILIO Yanga SC vs Coastal Union 07 April 2025
Siku ya jumatatu ya tarehe 07 April 2025 mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara Yanga SC itaenda kucheza mchezo wake unaofuta wa 24 na klabu ya Coastal Union katika uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam.
Kuelekea mchezo huo wenyeji Yanga kupitia msemaji wake Ally Kamwe imetangaza viingilio kwa mchezo huo na kuwahasa mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kwa kukata tikeki zao mapema ili kuendelea kuisapoti klabu yao.
Hapa chini ni viingilio vya mchezo huu wa Yanga vs Coastal Unioni utakaofanyika kuanzia majira ya saa 10:00 za jioni;
- VIP A; Tsh 20,000
- Mzunguuko; Tsh 10,000
Kama unahitaji kukata tiketi ya mchezo huu kupitia njia ya mtandaoni basi BOFYA HAPA
MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA