VIINGILIO Simba Sc vs Mashujaa 5 May 2025
Baada ya kipindi kilefu klabu ya wekundu wa msimbazi Simba Sc kusimama kucheza mechi za ligi kuu ya NBC Tanzania bara hatimae 2 May 2025 inarejea tena katika michuano ya ligi kuu ya NBC kwa kuwakaribisha Mashujaa FC katika uwanja wa KMC Complex majira yasaa 4:00 jioni jijini Dar es Salaam.
Kuelekea mchezo huo Simba Sc kama klabu ya nyumbani imesha tangaza viingilio vya mchezo huo. Kisiwa24 Blog tuko hapa kuhakikisha tunakuletea viingilio vya mchezo huo kama vilivyo tangazwa.
Viingilio Mechi ya Simba Sc vs Mashujaa 5 May 2025
Mzunguko; Tsh 10,000
VIP A: Tsh 20,000
