VIINGILIO Mechi ya Yanga vs TP Mazembe 04 January 2025
Habari mwanamichezo wa Kisiwa24 blog, karibu kwenye makala hii fupi ya kimichezo itakayoenda kuangazia juu ya viingilio vya mchezo wa Klabu ya Yanga dhidi ya TP Mazembe kutoka Dr Congo kwenye michuano ya klabu bingwa barani Afrika kwa msimu wa 2024/2025 ikiwa ni mchezo wa roundi ya 4.
Viingilio Yanga SC vs TP Mazembe
Hapa chini ni mpangilo wa viingilio vya mchezo wa kati ya Yanga SC na TP Mazembe 04 January 2025
Mzunguko (Orange) – Tsh 5,000
VIP C – Tsh 10,000
VIP B – Tsh 20,000
VIP A – Tsh 30,000
Tazama picha ili kupata mwongozo kamili wa viingilio vya mchezo wa Yanga SC dhidi ya TP Mazembe kwenye michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika t
Mahari mechi Itakapochezwa
Mchezo huu kati ya Yanga vs TP Mazembe utachezwa katika uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam kunako majira ya saa Kumi za jioni (10:00 Pm)
Yanga SC anakutana na TP Mazembe katika mchezo wa marudiano huku mchezo wa mwisho wa round ya 3 kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika TP Mazembe aliikaribisha Yanga kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Astede TP Mazembe na mchezo huo uliisha kwa sare ya 1-1.
Umuhimu wa Mechi hii kwa Klabu ya Yanga
Yanga ninahitaji mchezo huu kwa kiasi kikubwa.Ili iweze kukufua matumaini ya kuendela mbele lazima klabu ya Yanga iweze kushinda mchezo huu wa nyumbani.
Matumaini ya Mashabiki wa Yanga
Mashabiki wa klabu ya Yanga wanamatumaini makubwa sana juu ya klabu yao hasa ukizingatia ubora uluonyeshwa na wachezaji wake kwenye michezo ya kunga msimu wa kwanza wa ligi kuu ya NBC 2024/205 mcheo wa mwisho wa Yanga dhidi ya Fountane Gate, Yanga iliiibuka na ushindi wa goli 5-0.
Mapendekezao ya Mhariri
Kikosi cha simba kilicho safiri kuelekea TUNISIA
Ratiba Ya Usaili Ajira Mpya za Walimu 2024/2025
Orodha ya Maswali ya Usaili Ajira Mpya za Walimu 2024/2025