Kisiwa24 BlogKisiwa24 BlogKisiwa24 Blog
  • Ligi Ya NBC
    • Ratiba Ya NBC Tanzania
    • Msimamo NBC Tanzania
  • Makala
  • Ajira Mpya
  • Michezo
  • Vyuo Vyote
    • Kozi Zitolewazo Na Vyuo
    • Ada Za Vyuo
    • Sifa za Kujiunga Na Vyuo
    • Jnsi ya Kujiunga Na Vyuo
  • Education
    • Secondary Notes
      • O’ Level Notes
        • Form One
        • Form Two
        • Form Three
        • Form Four
      • A’ Level Notes
        • Form 5
        • Form 6
    • Secondary Syllabus
      • Primary Syllabus
      • O’ Level Syllabus
      • A’ Level Syllabus
  • Technology
    • Phone Review
© 2025 Kisiwa24 Blog. All Rights Reserved.
Reading: VIINGILIO Mechi ya Yanga vs MC Alger 18 January 2025
Share
Font ResizerAa
Kisiwa24 BlogKisiwa24 Blog
Font ResizerAa
  • Ligi Ya NBC
    • Ratiba Ya NBC Tanzania
    • Msimamo NBC Tanzania
  • Makala
  • Ajira Mpya
  • Michezo
  • Vyuo Vyote
    • Kozi Zitolewazo Na Vyuo
    • Ada Za Vyuo
    • Sifa za Kujiunga Na Vyuo
    • Jnsi ya Kujiunga Na Vyuo
  • Education
    • Secondary Notes
    • Secondary Syllabus
  • Technology
    • Phone Review
  • Ligi Ya NBC
  • Makala
  • Ajira Mpya
  • Michezo
  • Vyuo Vyote
  • Education
  • Technology
© 2025 Kisiwa24 Blog. All Rights Reserved.
Home » VIINGILIO Mechi ya Yanga vs MC Alger 18 January 2025
Michezo

VIINGILIO Mechi ya Yanga vs MC Alger 18 January 2025

Kisiwa24
Last updated: January 17, 2025 8:09 pm
Kisiwa24
Share
SHARE
MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

VIINGILIO Mechi ya Yanga vs MC Alger 18 January 2025

Habari mwanamichezo wa Kisiwa24 karibu katika makal hii fupi itakayoenda kukuonyesha kuhusu viingilio harisi vya mchezo wa marudiano wa raoundi ya 6 kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika 2025.

Kama wewe ni shabiki wa klabu ya Yanga na mpenda soka basi naamini utakua kusubilia kwa hamu mchezo huu wa Yanga vs MC Alger siku ya jumamosi 18/01/2025, Hivyo kama utahitaji kuutazama mtanange huu live kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam hauna budi kuweza kufahamu bei ya tiketi ya mechi hii ya Yanga vs MC Alger klabu bingwa Afrika mchezo wa roundi ya 6 hatua ya makundi kufudhu kwenda robo fainali.

VIINGILIO Mechi ya Yanga vs MC Alger 18 January 2025

Hapa chini ni mchanganuo wa bei ya tiketi ya mchezo wa Yanga vs MC Alger 18/01/2025.Viingilio katika mchezo huu vimeweza kugawanywa katika makundi maku manne ambayo ni;

1. Mzunguko (Orange) – Tsh 5,000

2. VIP C – 10,000

3. VIP B – Tsh 20,000

4. VIP A – Tsh 30,000

Hapa chini ni picha kuonyesha bei ya Tiketi mechi ya Yanga vs MC Alger 18/01/2025

VIINGILIO Mechi ya Yanga vs MC Alger 18 January 2025

Umuhimu wa Mchezo Huu kwa Yanga SC

Mchezo huu ni muhimu sana kwa klabu ya Yanga kwani ushindi wake katika mchezo huu utampa nafasi ya kuweza kusonga hadi nafasi ya 2 na kuweza kufuvu kwenda katika hatu inayofuata ya robo fainali ya michuano ya hii ya klabu bingwa Afrika kwa msimu wa 2025.

Hadi sasa kwenye kundi A klabu ya Yanga iko katika nafasi ya 3 ikiwa na jumla ya pointi 7 nyuma ya MC Alger iliyoko katika nafasi ya 2 ikiwa na pointi 8. Yanga haiitaji sare katika mchezo huu inahitaji pointi 3 ili kuweza kusonga hatua inayofuata.

Matumaini ya Mashabiki wa Yanga

Mashabi wa klabu ya Yanga wanamatumaini makubwa ya timu yoa kuweza kushinda katika mchezo huu na kuweza kusonga mbele kwenye hatua inayofuata ya robo fainali. Mchezo huu utafanyika siku ya jumamosi majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Benjamini Mkapa ulioko jijini Dar es Salaam.

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025

2. Timu Zilizofuzu Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika 2025

3. Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

4. Msimamo Wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 Tanzania Bara

5. Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza EPL 2024/2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

You Might Also Like

Ratiba ya Mechi za Leo Ligi Kuu Ya NBC 10/02/2025

Ratiba Ya Mechi za Chelsea Zilizobaki Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) 2024/2025

Idadi ya Makombe ya Manchester United | Rekodi Kamili 2025

Viwango vya Mishahara ya Wachezaji wa Azam FC 2024/2025

Vilabu Bora Afrika 2025/2026 (CAF Club Ranking)

Share This Article
Facebook Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link Print
What do you think?
Love0
Happy0
Joy0
Sad0
Previous Article Nafasi za Kazi Corporate Sales Representative Kutoka Cartrack Nafasi za Kazi Corporate Sales Representative Kutoka Cartrack
Next Article CV Ya Jonathan Ikangalombo Mchezaji Mpya wa Yanga CV Ya Jonathan Ikangalombo Mchezaji Mpya wa Yanga
Leave a review

Leave a Review Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Please select a rating!

banner banner
Kwa Matangazo ya Ajira Mpya 2025
Je unatafuta kazi? basi kutazama nafasi mpya za kazi zinazitoka kila siku bonyeza BUTTON hapo chini
Bofya HAPA

Latest News

KIKOSI Cha Simba Sc vs KMC leo 11 May 2025
KIKOSI Cha Simba Sc vs KMC leo 11 May 2025
Michezo
Nafasi za Kazi Tradesperson 1 - Mechanic at Geita Gold Mining Ltd (GGML) May 2025
Nafasi za Kazi Tradesperson 1 – Mechanic at Geita Gold Mining Ltd (GGML) May 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025
Nafasi za Kazi Courier at DHL Group May 2025
Nafasi za Kazi Courier at DHL Group May 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025
Msimamo wa ligi kuu ya NBC
Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025
Michezo
Mabasi Ya Dar To Morogoro
Mabasi Ya Dar To Morogoro
Makala
NECTA Matokeo ya Kidato cha Sita 20252026 Mkoa wa Kagera
NECTA Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026 Mkoa wa Kagera
NECTA Form Six Results 2025/2026

You Might also Like

Ratiba Ya Ligi Kuu ya England Leo  14 Septemba 2024
Michezo

Ratiba Ya Ligi Kuu ya England Leo  14 Septemba 2024 EPL Premier League 

Kisiwa24 Kisiwa24 2 Min Read
Kikosi Cha Yanga SC vs Mashujaa FC Leo 23/02/2025
Michezo

Kikosi Cha Yanga SC vs Mashujaa FC Leo 23/02/2025

Kisiwa24 Kisiwa24 4 Min Read

Jinsi ya Kupata Odds za Uhakika 2025

Kisiwa24 Kisiwa24 6 Min Read
Cv ya Elvis Rupia
CV za WachezajiMichezo

Cv ya Elvis Rupia Mchezaji wa Singida Black Stars

Kisiwa24 Kisiwa24 5 Min Read
Ratiba Ya Mechi Zote Za Yanga Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025
Michezo

Ratiba Ya Mechi Zote Za Yanga Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025

Kisiwa24 Kisiwa24 6 Min Read
Viingilio Mechi ya Derby Yanga vs Simba 8 Machi 2025
Michezo

Viingilio Mechi ya Derby Yanga vs Simba 8 Machi 2025

Kisiwa24 Kisiwa24 3 Min Read
Kisiwa24 BlogKisiwa24 Blog
© 2025 Kisiwa24 Blog All Rights Reserved.
adbanner