Viingilio Mechi ya Yanga vs Kagera Sugar 01 February 2025, Bei ya tiketi mechi ya Yanga vs Kagera Sugar Jumamosi 01/02/2025, Habari karibu katika kurasa hii ya kimichezo ambayo kwa kina itaenda kukupa mwongozo wa viingilio kwenye mchezo wa kipolo wa ligi kuu ya NBC utakaofanyika siku ya Jumamosi tarehe 01/02/2025 kwenye uwanja wa KMC Complex ulioko jijini Dar es Salaam maeneo ya Mwenge.
Baada ya Ligi kuu ya NBC kusimama kwa takribani mwezi mmoja siku ya jumamosi inaanza tena kwa mzunguko wa 2 lakini utaanza kwa kumalizia viporo vya timu mbili ya Yanga SC na Simba Sc ili kukamilisha mechi za mchezo wa Kwanza.
Viingilio Mechi ya Yanga vs Kagera Sugar 01 February 2025
Kuelekea mchezo wa february 01, 2025 kati ya Yanga SC vs Simba SC tayari bei ya tiketi kwenye mchezo huo zimesha tangazwa hivyo basi ikiw unataka kwenda kushuhudia mchezo huu huna budi kufahamu viingilio harisi vya mchezo huu.
Hapa chini tumekuwekea viingilio harisi kwa mchezo huu wa Yanga vs Kagera Suger, Viingilio vya mchezo huu vimegawanywa katika makundi makuu mawili Mzunguko na VIP A.
Mzunguko – Tsh 10,000
VIP A – Tsh 20,000
Tathimini ya Mchezo
Mchezo huu utakua wa kuvutia huku Yanga ikihitaji mchezo huu kwa hali na mari kwani hadi sasa kwenye msimamo wa ligi klabu ya Yanga iko katika nafasi ya 2. Kwa sasa Yanga haishiriki mashindano yoyote yale ya kimataifa baada ya kuondolewa katika hatua ya makundi ya michuano ya klabu bingwa Afrika, Hivyo basi nguvu na juhudi kwa klabu hii zitarejeshwa kwenye ligi kuu ya NBC na kufanya mechi hii kua ya kuvutia azaidi.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Tabora Utd vs Simba Sc Leo 2/02/2025 Saa Ngapi?
3. Tazama Hapa Makundi ya AFCON 2025
4. Orodha ya Mabingwa Kombe la Shirikisho Afrika
5. Orodha Ya Mabingwa Klabu Bingwa Afrika