Tigo ni moja kati ya kampuni za simu zinazotumika sana nchini Tanzania, ikitoa huduma mbalimbali za data, simu, na matangazo. Ikiwa unatafuta Vifurushi vya Tigo/Yas Internet na bei zake, basi umekuja mahali sahihi. Kwenye makala hii, tutakushughulikia vifurushi vyote vya Tigo/yas Internet, bei zake, na faida zake kwa wateja.
Vifurushi vya Internet vya Tigo/Yas (Data Bundles)
Tigo inatoa vifurushi mbalimbali vya intaneti vinavyofaa kwa matumizi ya kila siku, kutoka kwa vya mda mfupi hadi vya mda mrefu. Hapa kuna orodha ya vifurushi vya Tigo na bei zake kwa sasa:
1. Vifurushi vya Daily (Siku 1- Saa 24)
100 MB – TZS 500
350 MB – TZS 1,000
1 GB – TZS 2,000
2. Vifurushi vya Weekly (Siku 7)
500 MB – TZS 1,500
1.2 GB – TZS 3,000
4 GB – TZS 10,000
3. Vifurushi vya Monthly (Mwezi 1)
4.5 GB – TZS 10,000
12 GB – TZS 20,000
18 GB – TZS 30,000
Tigo ina vifurushi vya bei nafuu vinavyoweza kukidhi mahitaji yako ya data, simu, na malipo. Kwa kutumia maelezo haya ya Vifurushi vya Tigo na bei zake, unaweza kuchagua kifurushi kinachokufaa zaidi.
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQs)
1. Je, vifurushi vya Tigo vina muda gani?
Vifurushi vya Tigo vina muda tofauti kulingana na aina yake. Kuna vya siku 1, siku 7, na mwezi 1.
2. Ninawezaje kusimamia matumizi yangu ya data?
Piga *149# au tumia Tigo App kuangalia salio lako la data.
3. Je, vifurushi vya Tigo vinaweza kushirikiwa?
Ndio, unaweza kushiriki data kwa kutumia huduma ya *150*01#.
4. Bei za vifurushi vya Tigo zimebadilika?
Ndio, bei zinaweza kubadilika mara kwa mara. Hakikisha unaangalia mwenyewe kupitia *149#.
Soma Pia;
1. Sifa Za Kuomba Mkopo Wa Diploma
2. Vituo Vya Usaili Ajira za Jeshi la Polisi
3. Orodha ya Maswali ya Interview (Usaili) ya Kazi ya Polisi