Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Michezo»UBINGWA Simba Sc Kitendawili 2024/2025
Michezo

UBINGWA Simba Sc Kitendawili 2024/2025

Kisiwa24By Kisiwa24June 1, 2025No Comments4 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Klabu kubwa Tanzania na barani Afrika Simba Sc imekua katika wakati mugumu wa kuweza kutwaa taji la michuano yoyote ile inayoshiriki kwa msimu huu wa 2024/2025. Ikumbukwe ya kua Simba msimu huu imeshiriki ligi ya klabu bingwa Afrika, ligi kuu ya NBC Tanzania bara na kombe CRDB Federation Cup. Lakini hadi sasa amebakiwa na ligi moja tu ya NBC Tanzania Bara ambayo pia yuko katika nafasi ya 2 ikiwa nyuma ya waasimu wao Yanga Sc kwa tofautu ya Pointi Moja.

Simba SC kwenye dhamira ya kuvunja ngome ya Berkane - BBC News Swahili

Kombe La Shirikisho Afrika 2024/2025

Simba Sc ilikua miongoni mwa timu zilizokua zikishiriki michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika na ndio timu pekee kutokea Tanzania iliyoshiriki michuano hiyo. Klabu ya Simba ilifanya vizuri hadi kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo ya CAF Confideration Cup na hatimae kuweza kutinga hatua ya fainali baada ya kuitoa klabu ya Stellenbosch fc kutokea nchini Afrika ya kusini kwa bao moja kwa bila bao liliofungwa katika nusufainali ya kwanza iliyofanyika mjini Zanzibar na mechi ya marudiano kuisha kwa sare ya bila kufungana nchini Afrika ya Kusini.

Fainali ya Kombe la shirikisho Afrika Simba Sc aliweza kutolewa kwa tofauti ya magoli 1-3 baada ya fainali ya kwanza iliyofanyika nchini Morocco dhidi ya klabu ya RS Berkane kwa Simba Sc kukubari kipigo cha goli 2 kwa 0. Mchezo wa 2 wa fainali ulifanyika Mjini Zanzibar katika uwanja wa Amaani New Complex Simba alilazimishwa Sare ya 1-1, hivyo kufanya fainali kuwa na tofauti ya Simba 1-3 Rs Berkane. Mtaokeo yaliyoifanya Simba kupoteza ubingwa wa michuano hiyo na kumaliza kama mshindi wa 2.

Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara

Kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara klabu ya Simba ipo katika nafasi ya 2 huku ikiwa na jumla ya pointi 72 hadi sasa yuma ya klabu ya Yanga iliyoko katika nafasi ya 1 ikiwa na jumla ya pointi 73 zikiwa zote zimecheza takribani michezo 27 na kusali na michezo 3 ili kukamilisha ratiba ya ligi kuu ya NBC kwa msimu wa 2024/2025. Moja kati ya michezo hiyo ni mchezo wa Derby ya kariakoo ambao unatarajiwa kupigwa tarehe 15 June 2025.

Kwenye michezo iliyobakia kama simba atashinda michezo 2 na kufungwa au kutoa sare mchezo wake na Yanga huku pia yanga akashinda michezo 2 iliyobakia basi Yanga atakua bingwa wa ligi kwa mwaka 2024/2025. Lakini kama Yanga atapoteza hata mchezo mmoja na Simba kushinda michezo yote basi atakua bingwa wa ligi kuu ya NBC.

Soma Pia: VITA ya Ubingwa NBC Premier League 2024/2025

Kombe la CRDB Confederation Cup

Simba Sc pia ilikua ikishiriki kwenye michuano ya CRDB Confederation Cup na timu 4 ziliweza kufuzu kuingia katika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo ambazo ni

  1. Simba Sc
  2. Yanga Sc
  3. Singa Black Stars
  4. JKT Tanzania

Nusu fainali ya kwanza ilichezwa kati ya Yanga Sc vs JKT Tanznaia na Yanga iliigalagaza JKT kwa magoli 2 kwa 0 hivyo Yanga kujikatia tiketi ya fainali ya michuano hiyo ya ligi ya CRDB Confederation Cup.

Nusu fainali ya 2 ilikua kati ya Simba Sc vs Singida Black Stars na klabu ya Simba ilikubali kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Singinda Black Stars hivyo kufanya safari ya Simba kusaka ubingwa wa kombe la CRDB Confederation Cup Kua ndoto za mchana na kuishia katika hatua ya nusu fainali.

Kombe La Muungano

Kombe hili ambaye bingwa wa msimu huu wa 2024/2025 ni Yanga Sc, klabu ya Simba haikuweza kushiriki ili kujiandaa na michuano ya kombe la shirikisho ambayo pia haikuweza kushida taji hilo kwa kuishia katika nafasi ya 2.

Hivyo basi kwa sasa  klabu ya Simba haina taji hata moja la ubingwa mkononi kwa michuano ya 2024/2025, na ni ligi moja tu inayosubiliwa ili kufunga msimu.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous Article Mambo 20 ya Kumwambia Mpenzi Wako Katika Mahusiano ya Kimapenzi
Next Article Singida Yaifuta Yanga Fainali ya CRDB Confederation Cup
Kisiwa24

Related Posts

Michezo

MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

December 7, 2025
Michezo

Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

December 7, 2025
Michezo

Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara

December 7, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025777 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025439 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025416 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.