Timu Zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025
Orodha ya Timu Zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025, Tayari msimu mpya wa ligi ya NBC umecha anza kutimua vumbi huku timu 16 zikishiriki michuano hiyo.
Hapa katika makala hii tutaenda kukuwekea orodha ya timu zote 16 zinazoshiriki kwenye ligi kuu ya NBC Bara kwa msimu wa 2024/2025.
Oordha ya Timu Zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025
Hapa chini ni orodha ya timu 16 zinazoshiriki michuano ya ligi kuu ya NBC Tanzania bara 2024/2025
- Azam
- Simba
- Singida Black Stars
- Young Africans
- Tabora United
- Fountain Gate
- Mashujaa
- JKT Tanzania
- Kinondoni MC
- Coastal Union
- Dodoma Jiji
- Namungo
- Pamba Jiji
- Kagera Sugar
- Tanzania Prisons
- KenGold