Timu Zilizofuzu Hatua ya Nusu Fainali Carabao Cup 2024/2025

Timu Zilizofuzu Hatua ya Nusu Fainali Carabao Cup 2024/2025

Timu Zilizofuzu Hatua ya Nusu Fainali Carabao Cup 2024/2025

Baada ya robo fainali ya carabao cup kuweza kufanyika na timu nne kuweza kufuzu kuingia nusu fainali basi hapa tutaenda kukupa mwongozo wa timu zipi zilizopita kuingia nusu fainali ya Carabao Cup.

Je wewe ni shabiki wa mpira wa miguu na unafuatilia kombe la Carabao Cup, basi huna budi kujua ni timu zipi zilizoingia kwenye hatua ya Nusu fainali baada ya mtanange wa robo fainali kuweza kukamilika.

Hatua ya Robo fainali Carabao Cup 2024/2025

Hatua hii ilizikutanisha timu 8 ambazo ni;

  1. Arsenal
  2. Crystal Palace
  3. Newcastle
  4. Brentford
  5. Southampton
  6. Liverpool
  7. Tottenham
  8. Man United

Klabu ya Ma United imejikuta ikitupwa nje yaa michuano ya kombe la Carabao Cup baada ya kufungwa goli 4-3 na Tottenham katika mchezo wa robo fainali.

Timu Zilizofuzu Hatua ya Nusu Fainali Carabao Cup 2024/2025

Nusu fainali ya Carabao Cup 2024/2025

Timu nne zimeweza kufuzu kwenye hatua ya nusu fainali ya kombe la Carabao Cup ambazo ni;

  1. Arsenal
  2. Newcastle
  3. Tottenham
  4. Liverpool

Ratiba ya Nusu Fainali Kombe la Carabao Cup 2024/2025

Tayari draw ya nusu fainali imesha chezeshwa na ratiba imesha pangwa kwa timu zilizofuzu kuingia nusu fainali. Mechi za nusu fainali zitachezwa kati ya tarhe  6 January na tarehe 3 February huku fainali ya Carabao Cup inatarajijiwa kufanyka siku ya tarehe 16 March.

Baada ya draw kuchezeshwa timu zilizofuzu nusufainali tayari zimesha pangiwa micheo yao kama ifuatavyo

  1. Arsenal vs Newcastle
  2. Tottenham vs Liverpool

Washindi watakao patikana wataingia kwenye fainali ya kombe la Carabao inayotarajiwa kuchezwa 16 March kwenye uwanja wa Wembley.

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Vinara wa Assist Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025

2. Orodha ya Wafungaji Bora Ligi Kuu Uingereza EPL 2024/2025

3. Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025

4. Msimamo Wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 Tanzania Bara

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!