Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Michezo»Tanzania Vs Guinea Leo 19 Novemba 2024
Michezo

Tanzania Vs Guinea Leo 19 Novemba 2024

Kisiwa24By Kisiwa24November 19, 2024No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Tanzania Vs Guinea Leo 19 Novemba 2024, Ikiwa michuano ya kufudhu kwenda AFCON 2025 inaendelea leo timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inaenda kucheza na timu ya Guinea ikiwa ndio mchezo wa mwisho ili kufudhu kwenda AFCON.

Mchezo wa kwanza uliofnyika 10/09/2024 Tanzania ikiwa ugenini iliibuka na ushindi wa goli 2 kwa 1. Hivyo leo Tanzania anakutana na Guinea akiwa na historia ya kumfunga katika mchezo wa kwanza.

Msimamo wa Kudi H

  1. Dr Congo – Pointi 12, Katika michezo 5 ameshinda 4 amepoteza 1
  2. Guinea – Pointi 9 katika michezo 5 ameshinda 3 amepoteza 2
  3. Tanzania – Pointi 7 katika michezo 5 ameshinda 2, amedroo 1 na amepoteza michezo 2.
  4. Rthiopia – Pointi 1 katika michezo 5 amedroo mchezo 1 na kupoteza michezo 4

Huu ni mchezo wa 6 na wamwisho Tanzania anahitaji pointi 3 muhimu ili kuweza kufudhu kwa kushiriki kwenye michuano ya AFCON 2025.

Uchambuzi wa Mchezo

  • Mchezo utakua mgumu sana na wakuvutia kwani kila timu inahitaji pointi 3 muhimu ili kujihakikishia ushindi wa kufudhu AFCON 2025.
  • Kama Tifa Stars itashinda mchezo huu itakua na pointi 10 na kupanda hadi nafasi ya 2 kwa kuizidi guinea kwa pointi moja
  • Kama Guinea itashinda mchezo huu itakua na jumla ya pointi 12 na kua katika nafasi ya 2 ikiizidi Tanzania kwa pointi 4

Tanzania inahitaji kuutumia huu mchezo kama sehemu ya kuonyesha ubora wake na kutumia nafasi ya uwanja wa nyumbani kama chachu ya kushinda mchezo huu.

Kikosi Cha Taifa Stars Vs Guinea Leo 19 Novemba 2024

Hapa chini ni majina ya wachezaji wachezaji walioitwa kuunda kikosi cha Taifa Stars katika michuano hii ya kufudhu AFCON. Kutoka katika majina haya ndio kikosi cha Taifa Stars kitaundwa dhidi ya Guinea leo.

  1. Ally Salim – Simba SC
  2. Abdultwalib Mshery – Young Africans
  3. Yona Amos – Pamba SC
  4. Lusajo Mwaikenda – Azam FC
  5. Nathaniel Chilambo – Azam FC
  6. Mohamed Hussein – Simba SC
  7. Dickson Job – Young Africans
  8. Pascal Msindo – Azam FC
  9. Ibrahim Hamad – Young Africans
  10. Bakari Nondo – Young Africans
  11. Nickson Kibabage – Young Africans
  12. Abdulmalik Zakaria – Mashujaa FC
  13. Adolf Mtasigwa – Azam FC
  14. Himid Mao – Tala’a El Geish, Misri
  15. Novatus Dismas – Goztepe, Uturuki
  16. Mudathir Yahya – Young Africans
  17. Hussein Semfuko – Coastal Union
  18. Edwin Balua – Simba SC
  19. Feisal Salim – Azam FC
  20. Wazir Junior – Dodoma Jiji
  21. Cyprian Kachwele – Vancouver Whitecaps, Canada
  22. Clement Mzize – Young Africans
  23. Abel Josiah – TDS TFF Academy

HICHI HAPA KIKOSI CHA WACHEZAJI WALIOITWA TAIFA STARS, SAMATTA ARUDISHA

Munda wa Kuanza Kwa Mechi

Mchezo huu utapigwa katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam kuanzia majira ya saa 16:00 jioni

Matokeo ya Tanzania vs Guinea Kufudhu AFCON Leo 19 Novemba 1014

mchezo unatarajiwa kuanza majira ya 16:00 za jioni, hivyo basi mara baada ya mchezo kuanza na kumalizika tutakuwekea hapa matokeo ya mchezo huo

Tanzania 1 – 0 Guinea

Rmbu tupe maoni yako kuelekea mchezo huu wa kukata na shoka. Unaiona wapi Tanzania kwenye mchezo huu?

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleVichwa vya Habari vya Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu 18 November 2024
Next Article Msimamo wa Kundi H La Tanzania Kufudhu AFCON 2025
Kisiwa24

Related Posts

Michezo

MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

December 7, 2025
Michezo

Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

December 7, 2025
Michezo

Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara

December 7, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025780 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025442 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025423 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.