Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Ajira»Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Agosti 2024
Ajira

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Agosti 2024

Kisiwa24By Kisiwa24August 19, 2024No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Agosti 2024

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania anapenda kuwataarifu waombaji waliokidhi vigezo katika tangazo la Ajira ya Mkataba nafasi ya MKUZA MITAALA SOMO LA UTALII (TOURISM) kuwa, usaili unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 29/08/2024 hadi 30/08/2024 saa mbili Kamili Asubuhi katika Ofisi za Makao Makuu ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) zilizopo MwengeBamaga Karibu na Ofisi za Baraza la Mitihani la Tanzania, Jijini Dar es Salaam.

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Agosti 2024

Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

1. Kila Msailiwa anatakiwa kufika akiwa amevaa NADHIFU.

2. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.

3. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI (ORIGINAL), kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI na Shahada.

4. Wasailiwa watakaowasilisha (Testimonials, Provisional Results, Statement of results) hati za matokeo HAZITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.

5. Kila Msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.

6. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.

7. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wanatakiwa kufika na Hati za Uhakiki wa Vyeti vyao kutokakwa Mamlaka zinazohusika (kama TCU, NACTE au NECTA).

8. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindinafasi za kazi zitakapotangazwa kwa kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.

MWAJIRI: MKURUGENZI MKUU, TAASISI YA ELIMU TANZANIA
KADA: MKUZA MITAALA DARAJA LA II (UTALII)
MAHALI: USAILI WA KUANDIKA NA MAHOJIANO UTAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO, MAKAO MAKUU, TAASISI YA ELIMU TANZANIA
TAREHE NA MUDA WA USAILI WA KUANDIKA: 29/08/2024 SAA 2:00
ASUBUHI TAREHE NA MUDA WA USAILI WA MAHOJIANO: 30/08/2024 SAA 2:00
ASUBUHI.

Download PDF HAPA

Mapendekezo ya mhariri:

1. Jinsi Ya Kuangalia Salio La NSSF Kwa Njia ya Simu

2. Jinsi Ya Kulipia King’amuzi Cha Azam Tv 

3. Jinsi ya Kujiunga na Mfumo wa Maombi ya Ajira TAMISEMI

4. Jinsi ya Kupata Namba ya NIDA Kwa Njia ya SMS

5. Jinsi Ya Kuangalia Deni La Gari 2024 (TMS Traffic Check)

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleTangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma Agosti 2024
Next Article Nafasi Mpya 4 Za Kazi Kutoka Chuo kikuu cha Mzumbe Agosti 2024
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025
Ajira

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025
Ajira

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025780 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025442 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025423 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.