Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa

December 9, 2025

Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs Majina ya Nyongeza

December 9, 2025

Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Umma

December 9, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Ajira»Tangazo La Kuitwa Kwenye Usahili Kada Ya Afya Septemba 2024
Ajira

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usahili Kada Ya Afya Septemba 2024

Kisiwa24By Kisiwa24August 30, 2024No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usahili Kada Ya Afya Septemba 2024

Tangazo

Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga

BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU

BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA WHATSAPP CHANNEL YETU

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapendakuwataarifuWaombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 02-09-2024hadi12-09-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usahili Kada Ya Afya Septemba 2024

Wasailiwawanaoitwakwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemuambapousaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.

2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)

3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;

4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, KitambulishochaMpigakura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulishokutokaSerikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka.

5. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidatochaIV,VI,Astashahada, Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeananasifazaMwombaji.

6. Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatizamatokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWANAHAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.

7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.

8. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.

9. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa nakuidhinishwanaMamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)

10. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwahawakukidhivigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatiamahitajiyatangazo husika.

11. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswakujanavyetivyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.

12. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao nakunakili nambaya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili

13. Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwakuvaanguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usahili Kada Ya Afya Septemba 2024

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF FILE

Mapenedekezo Ya Mhariri;

1. Nafasi Mpya 15 Za Kazi Kutoka Halmashauri ya Manispaa Ya Tabora

2. Mshahara wa Mkurugenzi wa Halmashauri

3. Nafasi Mpya 15 Za Kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

4. Nafasi Mbali Mbali Za kazi zilizotangazwa Agosti 2024

5. Nafasi Mpya Za Kzi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Newala 

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleMabasi Dar Kwenda Mbeya
Next Article Nafasi Mpya 15 Za Kazi Halimashauri Ya Manispaa Ya Tabora
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa

December 9, 2025
Ajira

Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs Majina ya Nyongeza

December 9, 2025
Ajira

Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Umma

December 9, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa
  • Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs Majina ya Nyongeza
  • Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Umma
  • MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025
  • Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025769 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025432 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025384 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.