Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

December 7, 2025

Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

December 7, 2025

Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara

December 7, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Ajira»Tangazo La Kuitwa Kazini Walimu Na Kada Mbalimbali 02/02/2025 
Ajira

Tangazo La Kuitwa Kazini Walimu Na Kada Mbalimbali 02/02/2025 

Kisiwa24By Kisiwa24February 3, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Tangazo La Kuitwa Kazini Walimu Na Kada Mbalimbali February 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 20-02-2024 na tarehe 17-01-2025
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha
Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na
wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa
na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MUHIMU:

Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia,
Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.

Bonyeza HAPA Kupakua

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja La Iiic Jiografia Uliofanyika 01/02/2025

2. Nafasi 5 za Kazi At Barrick Gold Mine February 2025

3. Nafasi 2 Za Kazi at Geita Gold Mine (GGM) February 2025

4. Nafasi za kazi – Vice Chancellor & Deputy VC Vacancies at Ruaha Catholic University

5. Nafasi 28 za Kazi – Light Vehicle Driver At AIRD Tanzania Program

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleMatokeo Ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja La Iiic Jiografia Uliofanyika 01/02/2025
Next Article Nafasi za Kazi – 15 at NMB Bank February 2025
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025
Ajira

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025
Ajira

NAFASI za Kazi Kutoka Vodacom Tanzania

December 6, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025
  • Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025
  • Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara
  • Coastal Union Vs Yanga Leo 7 Dec 2025 Saa Ngapi?
  • Simba vs Azam Leo 07 December2025 Saa Ngapi?

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025593 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025364 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025292 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.