Tangazo la Kuitwa Kazini Bunge la Dododma 4-9-2024
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Tangazo la Kuitwa Kazini Bunge la Dododma 4-9-2024
Katibu wa Bunge anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali katika Utumishi wa Bunge waliotajwa katika Tangazo hili kwamba, walifaulu kushinda waombaji kazi wenzao kwenye usaili uliofanyika tarehe 24 – 29 Agosti, 2024 katika Ofisi za Bunge Dodoma. Hivyo, wahusika wanaarifiwa kwamba wanatakiwa kuripoti kazini Ofisi ya Bunge Dodoma ifikapo tarehe 09 Septemba, 2024 kwa ajili ya kukamilisha taratibu za ajira zao na
kupangiwa kazi. Waombaji kazi wanaoitwa kuripoti kazini wanatakiwa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

i. Kufika na vyeti halisi vya masomo kuanzia Kidato cha IV na kuendelea kulingana na sifa za kazi,
ii. Kufika na Cheti cha Kuzaliwa;
iii. Kufika na Kitambulisho cha Taifa;
iv. Kufika na Cheti halisi cha Ndoa (kama ipo); na
v. Kufika na Vyeti halisi vya kuzaliwa mtoto/watoto (kama wapo).
Kwa ambao masharti ya kazi zao yanawataka kusajiliwa na Mabaraza au Bodi zao za Kitaaluma wanatakiwa kuja na vyeti vyao vya usajili pamoja na leseni halali (valid licence) za kufanyia kazi.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF FILE
Orodha ya Shule za Sekondari Mkoa wa Geita
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku