TAKWIMU ya Simba Sc Hadi Sasa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
Ikiwa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara inaelekea mwishoni Kisiwa24 Blog tunakuletea takwimu za mwekundu wa msimbazi Simba Sc klabu tangu kuanza kwa ligi kuu ya NBC hadi kufikia sasa.
Hapa tutatazama hasa michezo mingapi imecheza, imeshinda michezo mingapi, imefungwa michezo mingapi,imetoa sare michezo mingapi, tofauti ya magoli na iko katika nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa ligi kuu ya NBC.

TAKWIMU ya Simba Sc Hadi Sasa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
NAFASI | 2 |
ALAMA | 66 |
MECHI | 25 |
USHINDI | 21 |
SARE | 3 |
KUFUNGWA | 1 |
MAGOLI YA KUFUNGA | 60 |
MAGOLI YA KUFUNGWA | 10 |
TOFAUTI YA MAGOLI | 50 |