Vituo Vya Kununua Tiketi za Mechi ya Simba Vs Stellenbosch Fc 20 April 2025
Vituo Vya Kununua Tiketi za Mechi ya Simba Vs Stellenbosch Fc 20 April 2025 Mara baada ya kutangazwa kwa viingilio vya mchezo wa nusu fainali ya kwanza kati ya Simba Sc vs Stellenbosch Fc kutokea nchini Afrika ya kusini mchezo utakao pigwa katika uwanja wa Amaan Zanzibar uwanja wenye uwezo wa kuchukua takribani mashabiki elfu 15,000 kunako siku ya jumapili
Continue reading