⇒VIDEO ZA CONNECTION ZA WAKUBWA TU 18+ (BOFYA HAPA)

  _____________________________________

Kwa AJIRA Mpya Kila Siku (BOFYA HAPA)

_____________________________________

Singida Yaifuta Yanga Fainali ya CRDB Confederation Cup

Singida Yaifuta Yanga Fainali ya CRDB Confederation Cup

Klabu ya Singida Black Stars imefanikiwa kuweza kufudhu  kwenda hatua ya fainali ya michuano ya CRDB Confideration Cup kwa msimu wa 2024/2025 baada ya kuichakaza klabu ya Simba Sc kwa magoli 3 kwa 1.

Mchezo huu wa nusu fainali ya pili baada ya ule mchezo wa nusu fainali ya kwaza uliozikutanisha timu za Yanga na JKT Tanzania ulifanyika taraehe 30 Mei 2025 mkoani manyara katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa.

Kwenye mcheo huu Simba Sc ilikubari kipigo cha magoli 3 kwa 1 na kupelekea klabu ya Sinda Black Stars kutinga kwenye hatua ya fainali ya michuano ya CRDB Confederation Cup akiungana na klabu ya Yanga.

Singida Yaifuta Yanga Fainali ya CRDB Confederation Cup

Matokeo Simba Sc vs Singida Black Stars.

Magoli ya Singida Black Stars.

  1. J. SOWA 17′
  2. E.KEYEKESH 35′,48′

Goli la Simba Sc.

  1. J. AHOUA 49′

Kwa matokeo haya Singida Black Stars anaungana na klabu ya Yanga kwenye fainali za michuano hii ya CRDB Confederation Cup kwa msimu wa 2024/2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!