Sifa Za Kujiunga Na Jeshi Tanzania JWTZ, Kama wewe ni kijana wa kitanznaia iwe msichana au mvulana na huna elimu ya kutosha lakini ni matarajio yako kuwa na kazi yeneye mshahara mkubwa, yeneye kukufanya uheshimike pia hata itakayokupa fursa ya kukufanya uweze kutembea sehemu mbali mbali duniani basi kuchagua kuweza kujiunga na jeshi ndio chaguzi sahihi kwako ili kutimiza ndoto zako.
Sifa Za Kujiunga Na Jeshi Tanzania JWTZ
JWTZ Kama jeshi la Wananchi Tanzania kila mwaka hutoa nafasi kwa watanzania wenye elimu na hata sifa tofauti tofauti ili kuweza kujiunga na jeshi hilo. Aina ya kazi katika jeshi la wananchi la Tanzania JWTZ hutofautiana kutegemea na kitengo au fani ya aliyeomba kujiunga na jeshi hilo. Lakini pia kama uliomba kujiunga na jeshi hilo na hukua na taaluma au ujuzi wa aina yoyote ile basi ifahamike kua utapewa kos=zi amabayo itaweza kukujenge juu ya ujuzi au taaluma flani.
Pindi unapofikilia kujiunga na jeshi la wananchi JWTZ inaweza kukuwia vigumu kujua ni aina gani ya kazi utakayoenda kuifanya huko na hii inatikana na kitu gani ambacho wewe unataraji kukifanya ila tambua sisi kama Habarika24 ni wajibu wetu kukupa mwongo amabao utakufanya uwe na chaguzi sashihi kweney kujiunga na jeshi la wananchi JWTZ, Hivyo basi katika makala hii nimeandika taarifa zote za kimsingi ambazo zitakuongoza kwenye kujiunga na jeshi la wananchi JWTZ,
Sifa Za Kujiunga Na Jeshi Tanzania JWTZ
Katika chapisho hili tunaenda kukueleza juu ya sifa na vigezo vinavyohitajika ili kujiunga na Jeshi la wananchi Tanznia JWTZ, pia utaenda kusoma juu ya mahitaji ya msingi unayotakiwa kua nayo katika mchakato wa kujiunga na jeshi la wananchi Tanzania JWTZ.
Tulio wengi tunapotaka kujiunga na jeshi tunatambua vigezo vya jumla kama vile
- Kuokua na michoro ya aina yoyote ile mwilini (Tatoo)
- Kuwa na tabia iliyo Njema
- Kutokua na historia ya kiharifu
lakini vigezo hapo juu sio ndio pekee vitakavyokufanya uweze kupata nafasi ya kujiunga na jeshi Tanznia kuna vigezo vingine vingi tu unavyotakiwa kuvizingatia ili kuhakikisha unapata nafasi ya kujiunga moja kwa moja na jeshi la wananchi Tanzania JWTZ.
Hivyo basi ili kuhakikisha unapata nafasi ya kujiunga na jeshi la JWTZ hakikisha unaendele kusoma makala hii hadi mwisho ili uweze kujua njia na michakato yote ya kupitia ili kurahisisha mchakato wako wa kuomba nafasi ya kujiunga na jeshi la JWTZ, kwani itakuhitaji uwe na vigezo na sifa mbali mbali na hapa tumekuwekea maelezo yote ya msingi.

Vigezo vya Kujiunga na Jeshi la JWTZ Tanzania
Kama unahitaji kujiunga na jeshi la JWTZ basi hivi hapa chini ni vigezo na sifa za wazi zitakazo kufanya uweze kuchaguliwa kujiunga na jeshi hilo la JWTZ bila kua na shaka yoyote ile
1. Usiwae na ulemavu wa aina yoyote
2. Uwe na afya iliyo bora yenye kukuwezesha kufanya kazi ya aina yoyote ile na yenye nguvu
3. Uwe na umri chini ya miaka 35
4. Elimu kuanzia darasa la saba
5. Uwezo wa kimwili kuhimili hali yoyote ya hewa na mazingira
6. Usiwe na Michoro ya aina yoyote mwilini
Inatakiwa mombaji wa nafasi ya kujiunga na jeshi la JWTZ afahamu kua ili kujiunga na tawi lolote lile la jeshi hilo basi ni lazima ale kiapo ambacho kitamfanya akili kulitumikia jeshi hilo wakati wote, mahali popote na katika mazingira yoyote hata kuiacha familia na vile vyote uvipendavyo na kuitii sheria.
Unaweza ukawa unavigezo na sifa zote zinazokufanya uweze kujiunga na jeshi la JWTZ bado itakuhitaji uwe na uaminifu na utii wa kutosha, kujitolea kwa moyo wote usahau maisha binafsi na uwe tayari kuitumikia sheria na kuacha mambo yoako yote binafsi.
Zifuatazo ni sifa za kujiunga na Jeshi Tanzania JWTZ
Sifa hizi ndizo hutumika katika upokeaji wa maombi ya kazi za jeshi pale zinapotangazwa.
- Uwe Raia Wa Tanzania
- Awe na umri kati ya miaka 17-25.
- Uwe na elimu ya kuanzia KIdato cha 4 na kuendelea
- Usiwe na ndoa
- Usiwe na rekodi yoyote ya kiharifu
- Uwe na faya njema kimwili na kiakili
Kama tulivyo sema hapo juu ili kuweza kufikia ndoto zako za kuajiliwa na kulitumikia jeshi la JWTZ ni muhimu kujitathimin kwanza kama unakidhi vigezo na sifa tulizoziainisha hapo juu na kisha sasa unaweza kutuma maombi yako ya kujiunga na jeshi hilo pindi watakapo tangaza nafasi za kujiunga na jshi hilo la JWTZ, kumbuka nafasi hizi hutangazwa mara moja kila mwaka.
MACHAGUZI YA MHARIRI;
1. Sifa za kujiunga Na Chuo Cha Hubert Kairuki Memorial University
2. Orodha Ya Kozi Bora Za Kusoma Chuo Kikuu Tanzania
3. Orodha Ya Vyuo Vikuu Bora Tanzania
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi