Shule za Sekondari za Advanced Mkoa wa Kagera
Mkoa wa Kagera ni mojawapo ya mikoa yenye historia ya elimu yenye mafanikio makubwa nchini Tanzania. Mkoa huu una shule nyingi za sekondari zinazotoa elimu ya kidato cha tano na sita (Advanced Level), zikiwa na mchepuo mbalimbali kama PCM, PCB, CBG, EGM, HGE, HGK, HGL, na HKL. Katika makala hii, tutakuletea orodha kamili ya shule hizo pamoja na mchepuo zinayotoa.
Shule za Sekondari za Kidato cha Tano na Sita Katika Mkoa wa Kagera
Wilaya ya Biharamulo
- Biharamulo Secondary School – S.192 S0405 – WAV – PCM, PGM, EGM, PCB, CBG.
- Kagango Secondary School – S.382 S0612 – WAV – EGM, PCB, CBG, HGE, HGK, HGL, HKL.
- Mubaba Secondary School – S.3726 S4534 – Co-ED – PCM, PCB, CBG.
Wilaya ya Muleba
- Nyakahura Secondary School – S.1131 S1349 – Co-ED – CBG, HGE, HGK, HGL, HKL.
- Nyantakara Secondary School – S.3017 S3112 – WAS – PCM, PCB, CBG.
- Nshamba Secondary School – S.505 S0704 – WAV – CBG, HGK.
- Lyamahoro Secondary School – S.445 S0656 – WAS – PCB.
Wilaya ya Bukoba Mjini
- Nyakato Secondary School – S.18 S0145 – WAV – PCM, PGM, PCB, CBG, HGE, HGK, HKL.
- Bukoba Secondary School – S.14 S0304 – WAS – PCB.
- Ihungo Secondary School – S.41 S0109 – WAV – PCM, EGM, PCB, CBG, HGE.
- Kagemu Secondary School – S.1225 S1482 – WAS – CBG, HGL.
- Kahororo Secondary School – S.43 S0115 – WAV – PCM, EGM, PCB, CBG, HGE, HKL.
- Omumwani Secondary School – S.83 S0339 – WAS – PCM, PCB, CBG, HGE, HGK, HGL, HKL.
Wilaya ya Karagwe
- Rugambwa Secondary School – S.76 S0218 – WAS – PCM, PCB, CBG, HGE, HGL, HKL.
- Bugene Secondary School – S.334 S0550 – Co-ED – CBG, HGE, HGK, HGL, HKL.
- Kamuli Secondary School – S.3316 S3058 – WAS – HGL.
- Kyerwa Secondary School – S.1318 S2423 – WAV – PCM.
- Nakake Secondary School – S.3319 S3061 – WAS – HGK.
- Nkwenda Secondary School – S.2114 S2235 – WAV – CBG.
Wilaya ya Missenyi
- Nyamiyaga Secondary School – S.4071 S4366 – WAV – CBG.
- Isingiro Secondary School – S.3321 S3063 – WAV – HKL.
- Kimuli Secondary School – S.3318 S3058 – WAV – HKL.
- Mabira Secondary School – S.463 S0676 – Co-ED – CBG, HKL.
Wilaya ya Ngara
- Mukire Secondary School – S.3315 S3057 – WAV – HGL.
- Nyabishange Secondary School – S.3322 S3064 – WAV – HKL.
- Bunazi Secondary School – S.414 S0638 – WAS – HKL, KLF.
- Bwabuki Secondary School – S.353 S0559 – WAS – HKL.
- Minziro Secondary School – S.631 S1126 – WAV – PCB, CBG.
- Ruzinga Secondary School – WAS – PCB.
- Kaigara Secondary School – S.549 S0880 – WAV – PCB, CBG.
Wilaya ya Kyerwa
- Kishoju Secondary School – S.179 S0360 – Co-ED – EGM, HGE, HGL, HKL.
- Nyailigamba Secondary School – S.4113 S4084 – WAS – PCB, CBG, HGK, HGL, HKL.
- Rutabo Secondary School – S.258 S0488 – WAV – HGK, HGL, HKL.
- Kabanga Secondary School – S.381 S0611 – Co-ED – CBA, CBG, HKL.
- Lukole Secondary School – S.4099 S4419 – Co-ED – EGM, CBG, HGE, HGK, HGL, HKL.
Wilaya ya Ngara
- Murusagamba Secondary School – S.1905 S2524 – WAV – PCB, CBG, HGL, HKL.
- Muyenzi Secondary School – S.899 S1160 – WAS – CBG, HGK, HGL, HKL, KLF.
- Ngara High School – S.5182 S5792 – WAV – HGL, HKL.
- Rusumo Secondary School – S.1847 S3591 – Co-ED – PCB, CBG, HGL, HKL.
Mkoa wa Kagera unaendelea kuwa miongoni mwa maeneo yenye sekondari bora zinazotoa elimu ya juu nchini Tanzania. Wanafunzi wana nafasi ya kuchagua shule kulingana na mchepuo wanaopendelea.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Shule za Sekondari za Advanced Mkoa wa Katavi
2. Shule za Sekondari za Advanced Mkoa wa Kigoma
3. Shule za Sekondari za Advanced Mkoa wa Kilimanjaro