Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa

December 9, 2025

Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs Majina ya Nyongeza

December 9, 2025

Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Umma

December 9, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Shule za Sekondari Mikoa Yote Tanzania»Shule za Sekondari za Advanced Mkoa wa Arusha
Shule za Sekondari Mikoa Yote Tanzania

Shule za Sekondari za Advanced Mkoa wa Arusha

Kisiwa24By Kisiwa24February 14, 2025No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Shule za Sekondari za Advanced Mkoa wa Arusha

Mkoa wa Arusha unajivunia kuwa na shule bora za sekondari zenye elimu ya juu kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sita. Shule hizi zinatoa mchanganyiko wa masomo mbalimbali ikiwa ni pamoja na Sayansi, Biashara na Sanaa, hivyo kuwawezesha wanafunzi kuchagua mwelekeo wa taaluma zao kwa umakini mkubwa. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya shule bora zinazotoa elimu ya kidato cha tano na sita katika mkoa wa Arusha.

Shule za Sekondari za Advanced katika Mkoa wa Arusha

Wilaya ya Arusha Mjini

  1. Arusha Girls Secondary School
    • Namba ya usajili: S.4801 S5260
    • Jinsia: Wasichana
    • Tahasusi: PCM, PGM, EGM, HGE
  2. Arusha Secondary School – Bweni
    • Namba ya usajili: S.35 S0302
    • Jinsia: Wasichana
    • Tahasusi: PGM, EGM, HGE, ECA
  3. Arusha Secondary School – Kutwa
    • Namba ya usajili: S.35 S0302
    • Jinsia: Wavulana
    • Tahasusi: PGM, EGM, HGE, ECA
  4. Korona Secondary School
    • Namba ya usajili: S.4415 S5126
    • Jinsia: Wavulana
    • Tahasusi: PCM, CBG
  5. Einot Secondary School
    • Namba ya usajili: S.647 S0973
    • Jinsia: Mchanganyiko
    • Tahasusi: HGK
  6. Ilboru Secondary School
    • Namba ya usajili: S.24 S0110
    • Jinsia: Wavulana
    • Tahasusi: PCM, PCB, HGL

Wilaya ya Karatu

  1. Ganako Secondary School
    • Namba ya usajili: S.1267 S2433
    • Jinsia: Wavulana
    • Tahasusi: HGK, HGL
  2. Karatu Secondary School
    • Namba ya usajili: S.137 S0364
    • Jinsia: Wavulana
    • Tahasusi: PCM, PGM, EGM, PCB, CBA, CBG, HGE, HGK, HGL, HKL
  3. Pamoja Ngabobo Secondary School
    • Jinsia: Mchanganyiko
    • Tahasusi: PCB, PCM, HKL

Wilaya ya Longido

  1. Longido Secondary School
    • Namba ya usajili: S.708 S0857
    • Jinsia: Mchanganyiko
    • Tahasusi: PCB, CBG, CBN, HGE, HGK, HGL, HKL

Wilaya ya Meru

  1. Maji ya Chai Secondary School
    • Namba ya usajili: S.765 S1098
    • Jinsia: Wavulana
    • Tahasusi: PCM, HGL, HKL
  2. Makiba Secondary School
    • Namba ya usajili: S.659 S1061
    • Jinsia: Wavulana
    • Tahasusi: CBG, HGL

Wilaya ya Monduli

  1. Engutoto Secondary School
    • Namba ya usajili: S.1276 S1549
    • Jinsia: Wavulana
    • Tahasusi: HGL, HKL
  2. Irkisongo Secondary School
    • Namba ya usajili: S.707 S0949
    • Jinsia: Wasichana
    • Tahasusi: EGM, HGK, HGL, HKL

Wilaya ya Ngorongoro

  1. Loliondo Secondary School
    • Namba ya usajili: S.1005 S1274
    • Jinsia: Wavulana
    • Tahasusi: CBG, HGK
  2. Malambo Secondary School
    • Namba ya usajili: S.2559 S2809
    • Jinsia: Wasichana
    • Tahasusi: CBG, HGL
  3. Nainokanoka Secondary School
    • Namba ya usajili: S.4483 S4816
    • Jinsia: Wavulana
    • Tahasusi: CBG, HKL
  4. Samunge Secondary School
    • Namba ya usajili: S.2560 S2810
    • Jinsia: Wavulana
    • Tahasusi: PCM, CBG, HGL

Hitimisho

Mkoa wa Arusha una shule nyingi bora za sekondari zinazotoa elimu ya juu kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sita. Wanafunzi wanayo nafasi ya kuchagua mwelekeo wa taaluma yao kwa kuzingatia michanganyiko ya masomo inayopatikana katika shule hizo. Uchaguzi wa shule bora yenye walimu wenye uzoefu na mazingira mazuri ya kujifunza ni hatua muhimu kwa maendeleo ya mwanafunzi.

Ikiwa unatafuta shule bora kwa masomo ya juu mkoani Arusha, orodha hii inakupa mwongozo wa kina wa shule zinazotoa elimu bora na maandalizi mazuri kwa elimu ya juu na taaluma mbalimbali.

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Shule za Sekondari za Advanced Mkoa wa Dar es Salaam

2. Shule za Sekondari za Advanced Mkoa wa Dodoma

3. Shule za Sekondari za Advanced Mkoa wa Geita

4. Shule za Sekondari za Advanced Mkoa wa Iringa

5. Shule za Sekondari za Advanced Mkoa wa Kagera

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleShule za Sekondari za Advanced Mkoa wa Dar es Salaam
Next Article O-level New Syllabus For All Subjects Form I – IV 2025
Kisiwa24

Related Posts

Shule za Sekondari Mikoa Yote Tanzania

Shule za Sekondari za Advanced Mkoa wa Dar es Salaam

February 14, 2025
Shule za Sekondari Mikoa Yote Tanzania

Shule za Sekondari za Advanced Mkoa wa Dodoma

February 14, 2025
Shule za Sekondari Mikoa Yote Tanzania

Shule za Sekondari za Advanced Mkoa wa Geita

February 13, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa
  • Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs Majina ya Nyongeza
  • Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Umma
  • MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025
  • Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025769 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025432 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025384 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.