- Rodri Mshindi Wa Tuzo Ya Ballon d’Or Msimu wa 2024, Habari mwanamichezo wa Habariak24, Karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa matokeo ya kinyang’anyiro cha
Macho yote ya wapenzi wa soka duniani kote yanaelekea Paris, Ufaransa, ambapo sherehe ya tuzo ya Ballon d’Or 2024 ilikofanyika na kutangazwa kwa mshindi.
Tuzo hii ya heshima kubwa katika mchezo wa soka inaendelea kuwa kigezo muhimu cha kutambua ubora wa wachezaji wa kimataifa.

Washiriki wa Tuzi ya Ballon d’Or
Walioshiriki katika kinyang’anyiro hicho cha tuzo ya Ballon d’Or kwa msimu huu wa 2024 ni zaidi ya wachezaji 30 kutoka vilabu mbali mbali duniani lakini mshindi alikua mmoja tu kutoka klabu ya Manchester United inayoshitiki ligi kuu ya Uingereza na michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya.
Rodri Mshindi Wa Ballon Ballon d’Or Msimu wa 2024
Baada ya kusubiliwa kwa muda mrefu hatimae usiku wa tarehe 28 october 2024 tuzo za Ballon d’Or kwa msimu wa 2024 ulimtangaz Rodri kama ndio msindi harisi wa tuzo hiyo
Rodri mwenye umri wa miaka 18 ni kiungo wa kati anayechezea klabu ya Man City katika klabu amecheza michezo 63 na katika michezo hiyo ameweza kufunga magoli 12 na kutoa usaidizi wa magoli yapatayo 14
Rodri ameshida makombe katika ligi kuu ya uingereza, uefa super cup, Club World Cup pamoja Euro 2024 akiwa na timu yake ya Taifa Ufaransa.
Akiwa na Man City Ameweza kushinda mataji 28
Rodri ndio mchezaji wa kwanza kushinda tuzo ya Ballod’Or akiwa na klabu ya Manchster City kwani tangu kuanzishwa kwa klabu hiyo hajawahi kutokea mchezaji kushinda tuzo hizo.
Katika nasafi nyingine
- Nafasi ya 2 imeshikwa na Vinicius Junior anaye chezea klabu ya Real Madrid na taifa la Brazil
- Na kwa nafasi ya 3 imeenda kwa Jude Bellingham mchezaji wa Real Madrid na taifa la Uingereza