Ratiba Ya Treni Za SGR Kutoka Dar es Salaam Hadi Morogoro, Habari ya wakati huu ewe msafri wa kutokea Dar es Salaam kwenda Morogoro na Morogoro kuelekea Dar es Salaam, Karibu katika makala hii fupi itakayoenda kugusia hasa juu ya ratiba za treni ya mwendokasi SGR kutoka Dar kwenda Morogoro na Morogoro kwenda Dar.
Kama tunavyofahamu ya kua Treni ya umeme ya SGR Tayari chini ya TCRA imesha anza kufanya huduma zake za usafirilishaji wa abiria kwa awamu ya kwanza kutokea mkoani Dar es Salaaam hadi Morogoro,Kwa sasa kunasafari chahe zinazofanywa na Treni hiyo ya mwendokasi.
Ratiba Ya Treni Za SGR Kutoka Dar es Salaam Hadi Morogoro
Kama wewe ni miongoni mwa abiria wanaotaraijia kufanya safari zao kati ya mikoa hii miwili basi huna budi pia kuweza kufahamu ratiba kamili ya treni hii ya mwendo kasi itakayo anzia mkoa wa Dar es Salaam hadi Morogoro.
Ratiba hii ni kuanzia jumatatu hadi jumapili
Ratiba ya Treni ya Haraka (Express) Dar es Salaam – Morogoro Hadi Dodoma
Hapa tutaenda kutazama ratiba ya treni za Haraka (Express) za GSR kutoka kituo cha Dar es Salaam hadi kituo cha Morogoro kwenda hadi kituo cha Dodoma
Kutoka Dar es Salaam -Morogoro Hadi Dodoma
- Dar es Salaam – Kuondoka 12:00 Asubui
- Kituo Morogoro – Kufika 1:37 Asubui – Kuondoka 1:42
- Kituo Dodoma – Kifika 3:25 Asubui
Kutoka Dar es Salaam -Morogoro Hadi Dodoma
- Dodoma – Kuondoka 11:30 Asubuhi
- Kituo Morogoro – 1:10 Asubuhi, Kuondoka 1:15 Asubuhi
- Dar es Salaam – Kuwasili 2:45 Asubuhi

Ratiba ya Treni ya Kwaida (Ordinary) Dar es Salaam – Morogoro Hadi Dodoma
Hapa tutaenda kutazama ratiba ya treni za kawaida (Ordinary) za GSR kutoka kituo cha Dar es Salaam hadi kituo cha Morogoro kwenda hadi kituo cha Dodoma
Kutoka Dar es Salaam -Morogoro Hadi Dodoma
- Dar es Salaam – Kuondoka 12:15 Jioni
- Kituo Morogoro – Kufika 2:40 Usiku – Kuondoka 2:45
- Kituo Dodoma – Kifika 4:35 Usiku
Kutoka Dar es Salaam -Morogoro Hadi Dodoma
- Dodoma – Kuondoka 11:30 Jioni
- Kituo Morogoro – 1:18 Usiku, Kuondoka 1:25 Usiku
- Dar es Salaam – Kuwasili 3:35 Usiku
Ratiba ya Treni za SGR Kutoka Dar es Salaam Hadi Morogoro
Treni Kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro Ratiba ya Asubui
- Dar es Salaam – Kuondoka 3:30 Asubui
- Kituo Morogoro – Kufika 3:10 Asubui
Kutoka Morogoro kwenda Dar es Salaam Ratiba ya Asubuhi
- Morogoro kuondoka 3:50 Asubui
- Dar es Salaam – Kuwasili 5:40
Kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro Ratiba ya Jioni
- Dar es Salaam – Kuondoka 10:00 jioni
- Kituo Morogoro – Kufika 11:40 jioni
Kutoka Morogoro kwenda Dar es Salaam Ratiba ya Jioni
- Morogoro kuondoka 10:20 jioni
- Dar es Salaam – Kuwasili 12:10 jioni

Shirika la Reli Tanzania lazindua kampeni ya uelewa kuhusu kuanza kwa huduma za safari za treni katika Reli ya kiwango cha Kimataifa SGR kwenye hafla fupi iliofanyika stesheni ya SGR Jijini Dar es Salaam Juni 12-2024.
Kampeni hii inalengo la kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya huduma mpya za SGR pamoja na mambo muhimu yakuzingatia katika masuala ya ulinzi na usalama wa abiria na mali zao ambapo kaulimbiu ya kampeni ni “Twende Tukapande Treni Yetu, Tuitunze, Tuithamini”
Madaraja ya Treni za Mwendokasi SGR
Kadhalika upande wa treni za mchongoko (EMU) zitakuwa na madaraja yafuatayo,
- Daraja la Juu (High Class)
- Daraja la Uchumi (Economy Class)
- Daraja la Biashara (Business Class) na
- Daraja la Kifalme la Biashara (Royal Business Class).
MACHAGUZI YA MHARIRI;
1. Soma Nauli za treni ya mwendokasi SGR
2. Jinsi ya Kutumia Kadi Ya GUSA AzamPesa
3. Jinsi Ya Kupata Salary Slip Kwa Njia Ya Mtandao