Ratiba ya Simba SC Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025, Kombe la Shirikisho la Afrika (AFCON) 2024/2025Habari ya wakati huu mwanamichezo wa habarika24, karibu katika makala hii fupi ya kimichezo ambayo kwa kina itaenda kuangazia juu ya ratiba ya mechi za Simba Sc kombe la shirikisho Afrika 2024/2025.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Ratiba ya Simba SC Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limetangaza ratiba kamili ya michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa hatua ya makundi.
Simba ndio klabu pekee kutoka Tanzania inayoshiriki katika michuano hii ya kombe la shirikisho kwa msimu huu wa 2024/2025 baada ya kumaliza msimu wa ligi kuu ya NBC katika nafasi ya 3 ikiwa na jumla ya alama 69 yuma ya Azam na klabu ya Yanga. Simba Sc katika hatua hii ya makundi imepangwa katika kundi A.
Timu Zinazounda Kundi A
- Simba SC (Tanzania)
- CS Sfaxien (Tunisia)
- CS Constantine (Algeria)
- FC Bravos do Maquis (Angola)
Ratiba ya Simba SC Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
Kutokana na wingi wa pointi za CAF walizonazo Simba SC, Wekundu wa Msimbazi wamepata bahati ya kupumzika katika raundi ya awali ya michuano ya CAF Confederation cup ambayo hujulikana pia kama michuano ya kombe la shirikisho CAF.Hivyo klabu ya Simba itaanza mechi zake moja kwa moja kutoka katika hatu ya makundi.
Simba itacheza jumla ya michezo 6 amabapo mnichezo 3 itakua nyumbani na michezo mingine 3 itakua ya ugenini.Mchezo wa kwanza kwa klabu ya Simba katika kombe la Shirikisho Afrika msimuwa 2024/2025 utaanzia nyumbani katika dimba la Benjamini Mkapa akiwakaribisha Fc Bravos Do Maquis mnamo tarehe 27 November 2024
Ratiba ya Mechi Za Simba Sc
1. Simba SC vs FC Bravos do Maquis
Tarehe: 27 November 2024
Uwanja: Nyumbani
2. CS Constantine vs Simba
Tarehe: 8 December 2024
3. Simba Sc Vs CS Sfaxien
Tarehe: 15 December 2024
Uwanja: Numbani
4. CS Sfaxien vs Simba Sc
Tarehe: 05 Januari 2025
Uwanja: Ugenini
5. FC Bravos do Maquis Vs Simba
Tarehe: 12 Januari 2025
Uwanja: Ugenini
6. Simba Sc Vs CS Constantine
Tarehe: 19 Januari 2025
Uwanja: Nyumbani

Ratiba Kamili Kombe la Shirikisho CAF (CAF confederation Cup 2024/2025)
- M41 & 42: EL KANEMI W. FC 🇳🇬 vs DADJE FC 🇹🇬 vs RS BERKANE 🇲🇦
- M43 & 44: ASCK 🇹🇬 vs AS FAN 🇳🇪 vs ASEC MIMOSAS 🇨🇮
- M45 & 46: PAYNESVILLE FC 🇱🇷 vs FOVU DE BAHAM 🇨🇲 vs STADE MALIEN 🇲🇱
- M47 & 48: HAFIA FC 🇬🇳 vs RAHIMO FC/EFO 🇧🇫 vs ENYIMBA FC 🇳🇬
- M49 & 50: UTS 🇲🇬 vs RC ABIDJAN 🇨🇮 vs EAST END LIONS FC 🇸🇱 vs ASC JARAAF 🇸🇳
- M51 & 52: KENYA POLICE FC 🇰🇪 vs ETHIOPIAN COFFEE 🇪🇹 vs ZAMALEK SC 🇪🇬
- M53 & 54: JAMUS FC/JUBA 🇸🇸 vs STADE TUNISIEN 🇹🇳 vs USMA 🇩🇿
- M55 & 56: UHAMIAJI FC 🇹🇿 vs LIBYA 1 🇱🇾 vs SIMBA SC 🇹🇿
- M57 & 58: KITARA FC 🇺🇬 vs LIBYA 2 🇱🇾 vs EL MASRY 🇪🇬
- M59 & 60: HORSEED FC 🇸🇴 vs RUKINZO FC 🇧🇮 vs CS SFAXIEN 🇹🇳
- M61 & 62: N. HOTSPURS FC 🇿🇦 vs STELLENBOSCH FC 🇿🇦 vs AS VITA CLUB 🇨🇩
- M63 & 64: ELGECO PLUS 🇲🇬 vs CD LUNDA-SUL 🇦🇴 vs SEKHUKHUNE UTD 🇿🇦
- M65 & 66: FC BRAVOS 🇦🇴 vs COASTAL UNION SC 🇹🇿 vs FC LUPOPO 🇨🇩
- M67 & 68: ALIZE FORT 🇩🇯 vs A. BLACK BULLS 🇸🇿 vs FC 15 DE AGOSTO 🇦🇴 vs AS OTOHO 🇨🇬
- M69 & 70: FORESTERS FC 🇸🇱 vs ORAPA UNITED 🇧🇼 vs DYNAMOS FC 🇿🇼 vs ZESCO UNITED 🇿🇲
- M71 & 72: NSOATREMAN FC 🇬🇭 vs TP ELECT SPORT 🇹🇩 vs CS CONSTANTINE 🇩🇿 vs POLICE FC 🇷🇼
Hitimisho
Mashabiki wa soka bara Afrika wanasubiri kwa hamu kuona ni timu gani zitafanikiwa kutoka katika kundi hili lenye ushindani mkali. Kila timu itajitahidi kutoa burudani na mchezo wa hali ya juu kwa mashabiki.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
2. Kundi la Simba Sc Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
3. Kundi la Yanga SC Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
4. Makundi ya Klabu Bingwa Africa Msimu wa 2024/2025
5. Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku