Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Michezo»Ratiba ya Mashindano ya Ngao ya Jamii 2024/2025
Michezo

Ratiba ya Mashindano ya Ngao ya Jamii 2024/2025

Kisiwa24By Kisiwa24November 5, 2024No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Ratiba ya Mashindano ya Ngao ya Jamii 2024/2025, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza tarehe rasmi za michezo ya miashindano ya Ngao ya Jamii kwa msimu wa 2024-25, ambapo michezo hiyo imepangwa kuanza kutimua vumbi Agosti 8 hadi Agosti 11, 2024. Hii inaashiria kuanza kwa msimu mpya wa soka nchini, ukiwa unatarajiwa kua msimu wenye ushindani mkubwa na ubora wa mpira wa hali ya juu zaidi.

Ratiba ya Ngao ya Jamii 2024

Msimu mpya wa soka Tanzania unaanza kwa kishindo! Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza ratiba kamili ya michezo na viwanja vitakavyotumika katika michuano ya ngao ya jamii ya mwaka huu. Msimu wa 2024/2025 wa michuano ya Ngao ya jamii umepangwa kuanza Agosti 8 ambapo timu nne zitachuana vikali kumtafuta bingwa wa ngao wa jamii hadi Agosti 11, 2024.

Hii apa Ratiba Nusu Fainali Ngao ya Jamii 2024/2025

Tarehe Mechi Uwanja
8 Agosti 2024 Azam FC vs. Coastal Union Uwanja wa Amaan, Zanzibar
8 Agosti 2024 Young Africans vs. Simba SC Uwanja wa Benjamin Mkapa, DSM

Agosti 8 itakuwa siku ya kusisimua kwa mashabiki wa soka nchini Tanzania. Wanaramba ramba Azam FC watavaana na Wagosi wa Kaya, Mangushi Coastal Union katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Wakati huo huo, Timu ya wananchi Young Africans watapambana na mahasimu wao wa jadi Simba SC katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Ni vita ya wakubwa!

Ratiba Fainali Ngao ya Jamii 2024/2025 & Mshindi wa Tatu

Tarehe Mechi Uwanja
11 Agosti 2024 Mshindi wa Tatu Uwanja wa Benjamin Mkapa, DSM
11 Agosti 2024 Fainali Uwanja wa Benjamin Mkapa, DSM

Baada ya michezo ya nusu fainali, timu zitakazopata ushindi zitatinga fainali. Mshindi wa tatu ataamuliwa tarehe 11 Agosti katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Na siku hiyo hiyo, fainali kuu itafanyika ambapo bingwa mpya wa Ngao ya Jamii atatawazwa.

Ratiba ya Mashindano ya Ngao ya Jamii 2024/2025
Ratiba ya Mashindano ya Ngao ya Jamii 2024/2025

Timu Zitakazo Shiriki Ngao ya Jamii 2024/2025

  • Yanga Sc,
  • Simba Sc,
  • Azam Fc
  • Coastal Union Fc.

Msimu uliopita, michezo ya Ngao ya Jamii ilifanyika katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, na kuna matarajio kuwa viwanja vingine vya kisasa vitaweza kutumika kwa msimu huu. TFF inatarajiwa kutoa taarifa zaidi kuhusu ratiba na viwanja kabla ya kuanza kwa michuano.

Hitimisho

Michezo ya Ngao ya Jamii ni kipimo muhimu kwa timu kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu. Timu zitakuwa zikitumia michuano hii kujaribu vikosi vyao na kupanga mbinu zitakazotumika katika msimu mzima. Mashabiki nao wanatarajia burudani ya hali ya juu kutoka kwa timu hizi kubwa nne.

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Kikosi cha Simba SC Msimu wa 2024/2025

2. Ligi Bora Africa 2024

3. Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 

4. Mchezaji mwenye Magoli mengi Tanzania

Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa unamaswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.

Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku

BONYEZA HAPA

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleJinsi Ya Kufanya Biashara Mtandaoni (Online business)
Next Article Muundo wa Barua ya Maombi ya Kazi Mtendaji wa Kijiji na Mtaa
Kisiwa24

Related Posts

Michezo

MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

December 7, 2025
Michezo

Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

December 7, 2025
Michezo

Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara

December 7, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025780 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025443 Views

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 2025441 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.