RATIBA ya NBC Premier League 18 June 2025
Ikiwa ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaelekea kumalizika kwa kusailia kwa mechi mbili kwa kila timu ukiacha ile ya Derby ya Kariakoo ambayo imepangwa kufanyika tarehe 15 June 2025.
Hapa kisiwa24 tunakuletea michezo ya NBC Premier League tarehe 18 June 2025.
RATIBA ya NBC Premier League 18 June 2025
KenGold vs Simba Sc
- 10:00 Jioni
Tanzania Prisons vs Young Africans (Yanga)
- 10:00 Jioni
Azam Fc vs Tabora United
- 10:00 Jioni
Costal Union vs Fountain Gate
- 10:00 Jioni
Pamba Jiji vs JKT Tanzania
- 9:00 Mchana
Namungo Fc vs Kagera Suger
- 9:00 Jioni
Dodoma Jiji vs Singida Black Stars
- 9:00 Jioni
Mashujaa Fc vs KMC Fc
- 9:00 Jioni
Soma Pia;
- Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania
- Vinara wa Assist Ligi Kuu ya NBC Tanzania
- Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League
- Msimamo wa Ligi ya NBC Premier League