Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA
Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA

RATIBA ya Mechi za Yanga Mwezi Januari 2025

Filed in Michezo by on January 4, 2025 0 Comments

RATIBA ya Mechi za Yanga Mwezi Januari 2025, Habari ya wakati huu mwanamichezo wa Kisiwa24, Karibu katika makala hii Fupi itakayoenda kukuonyesha Ratiba kamili ya klabu ya Yanga kwenye mwezi huu wa January 2025 kwenye mashindano ya michuano ya klabu bingwa Afrika (CAF Champions League).

Ikumbukwe kua klabu ya Yanga ndio klab pekee kutoka Tanzania inayoshiriki katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika kwa Msimu huu wa 2024/2025. Kwa sasa michuano hii ipo kwenye hatua za makundi na klabu ya Yanga imepangiwa katika kundi A.

RATIBA ya Mechi za Yanga Mwezi Januari 2025

Baada ya kumlizika kwa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2024/2025, sasa klabu ya Yanga kwa mwezi January 2025 inaenda kujikita kwenye michuano ya kimataifa ya CAF Champions League kwa kucheza michezo yote iliyobakia kwenye hatua ya makundi.

Hapa chini ni Ratiba ya michezo Yote ya Yanga SC ndani ya mwezi wa kwanza 2025 ambapo itacheza jumla ya michezo 3 ili kutafuta tiketi ya kuingia hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika 2o24./2025.

RATIBA ya Mechi za Yanga Mwezi Januari 2025

1. Yanga Vs TP Mazembe

Mchezo utafanyika jijini Dar es Salaam tarehe 04 January 2025 majira ya saa 16:00 za jioni, huu utakua mchezo waa marudiano, baada ya mchezo wa kwanza uliofanyika DR Congo siku ya 15 December 2024 na kuisha kwa sare ya 1-1

2. Al Hilal vs Yanga SC

– Kwenye mchezo huu Yanga itasafiri kuifuta Al Hilal Sudan , na mchezo huu utachezwa siku ya tarehe 12 January 2025, ikiwa pia ni mchezo wa marudiano baada ya mchezo wa  kwanza uliofanyika jijini Dar es Salaam  26 November 2024 huku Yanga akifungwa goli 2 kwa sifuri.

3. Yanga vs MC Alger

Mchezo huu unatarajiwa kufanyika siku ya tarehe 18 January 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa ikiwa pia ni mchezo wa marudiano baada ya mchezo wa awali uliofanyika Algeria siku ya tarehe 7 December 2024 na Yanga kupoteza mchezo huo kwa kufungwa goli 2 kwa sifuri

Msimamo wa Yanga Kundi A Klabu Bingwa Afrika

Hadi sasa imesha chwezwa michezo 4 na imebaikia michezo 2 ili kumaliza mizunguko ya hatua ya makundi, Katika michezo minne Yanga imeshinda mchezo 1, imetoa sare mvchezo 1 na kupoteza michezo 2, Hivyo hadi sasa imewea kukusanya pointi 4 katika michezo 4 na kushika nafasi ya 3 katika msimamo wa kundi A.

Rank Club MP W D LL GF GA GDG Pts
1 Al-Hilal 3 3 0 0 5 1 4 9
2 MC Alger 3 1 1 1 2 1 1 4
3 Young Africans 4 1 1 2 4 6 -2 4
4 TP Mazembe 4 0 2 2 3 6 -3 2

Tathimini ya Yanga Kwenye Mechi Zilizobakia

Ukiangalia Yanga bado ananafasi nzuri ya kuweza kuendelea katika hatua inayofuata ya Robo fainali za michuano ya klabu bingwa Afrika kama haya yafuatayo yatatokea

1. Mchezo kati ya Ahilal na MC Alger kumalizika kwa MC Akija kufungwa au sare, kwani kufungwa kutaifanya MC Alger kubaki na pointi zile zile na kama utaisha kwa matokeo ya sare basi MC Alger atakua na pointi 5.

2. Michezo 2 iliyo baki Yanga itampa ama ashinde michezo yote 2 ili awe na pointi 10 au ashinde mchezo 1 na kutoa sare mchezo 1 ili awe na pointi 8 au apoteze mchezo mmoja na ashinde 1, ili awe na pointi 7.

3. Sare ya michezo iliyo baki kwa Yanga itakua na faida endapo mchezo wa roundi ya 4 kati ya Al Hilal na MC Alger utamalizika kwa Al Hilal kushinda au kutoa sare, Kama mchezo utaisha kwa sare basi MC Alger atakua na pointi 5 na michezo miwili iliyo baki ya Yanga akitoa sare basi atakua na pointi 6 hivyo atamaliza katika nafasi ya 2 na kupata nafasi ya kutinga robo fainali.

Matumaini ya Mashabiki wa Yanga

Kutokana na mchezo wa tarehe nne Yanga vs TP Mazembe mashabi wa Yanga wamekua na matumaini makubwa kwa timu yao kuweza kusonga mbele ushidi wa 3-0 kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa jijini dar es Salaam 04 January 2025 umeibua matumaini mapya kwa washabiki na wachezaji wa Yanga.

Je wewe kama mwanasoka na shabi wa Yanga embu tuandikie maoni yako juu ya timu yako na ratiba yake kwenye michuano hii ya klabu bingwa Afrika.

Mapendekezo ya Mhariri:

1. Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

2. Matokeo Ya Yanga SC vs TP Mazembe 04 January 2025

3. Msimamo Wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

4. Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza EPL 2024/2025

5. Ratiba Ya Ligi Kuu England 2024/2025 (EPL Fixtures 2024/2025)

6. Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League 2024/2025

7. Vinara wa Assist Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA
Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA
error: Content is protected !!