Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

December 12, 2025

NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

December 12, 2025

Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa

December 9, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Michezo»Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
Michezo

Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

Kisiwa24By Kisiwa24October 25, 2024No Comments4 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025, Habarin mpezi wa soka wa Habarika24, katika makal hii ya michezo tutaenda kutazama ratiba ya mechi za klabu ya yanga kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika msimu wa 2024/2025 (CAF Champions League). Kama wewe ni shabiki wa michuano ya klabu bingwa Afrika basi ni muhimu kutazama ratiba kamili ya michuano hii na pia kama ni mpenzi na shabiki wa klabu ya Yanga basi hapa tunakuwekea ratiba kamili ya mechi zote za Yanga kwneye hatua za makundi.

Shirikisho la soka barani Afrika limesha chezesha droo ya ,amakundi na kutangaza makundi ma nne ambayo yatakua na timu nne kwenye kila kundi katika hatua hii ya makundi. Huku tukishuhudia makundi ya vifo kama vile kundi la Yanga kundi A.

Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

Timu zinazoshiriki Katika Hatua ya Makundi Klabu Bingwa Afrika

Kunajumla ya timu 16 ambazo zimefuzu hatua ya makundi na ndio zitakazo shiriki hatua hii ya makundi katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika kwa msimu huu wa 2024/2025 kutoka mataifa mbali mbali ya Afrika. Huku Taifa la Tanzania likishuhudia klabu yake ya Yanga Ikitinga katika hatua hiyo ya makundi na ikipangwa katika kundi A

Timu Zilizoko katika Kundi la Yanga Kundi A

Kundi A limetafsiriwa kuwa kundi la kifo kwa kuwa na timu zenye uwezo wa hari ya juu kama yanga nyenyewe na nyinginezo. Hapa tutakuonyesha Timu zinazo unda kundi A.

  • TP Mazembe (DR Congo)
  • Yanga (Tanzania)
  • Al Hilal SC (Sudan)
  • MC Alger (Algeria)

Hapo juu ndio timu zinazo unda kundi A, Ili kutanzama makundi mengine ya michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika tafadhari unaweza kubonyeza HAPA

Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

Hii hapa chini ndio ratiba kamili ya michezo yote ya klabu ya YANGA katika michuano ya klabu bingwa Afrika katika hatua ya makundi

Raundi ya Kwanza (Round 1) – 26.11.2024 (14:00)

  • Young Africans (Tan) vs Al-Hilal Omdurman (Sud)

Raundi ya Pili (Round 2) – 06.12.2024 (14:00)

  • MC Alger (Alg) vs Young Africans (Tan)

Raundi ya Tatu (Round 3) – 13.12.2024 (14:00)

  • TP Mazembe (Drc) vs Young Africans (Tan)

Raundi ya Nne (Round 4) 03.01.2025 (14:00)

  • Young Africans (Tan) vs Mazembe (Drc)

Raundi ya Tano (Round 5) 10.01.2024 (14:00)

  • Al-Hilal Omdurman (Sud) vs Young Africans (Tan)

Raundi ya Sita (Round 6) 17.01.2025 (14:00)

  • Young Africans (Tan) vs MC Alger (Alg)

Katika hatua hii ya makundi klabu ya Yanga inatarajia kucheza michezo isiyopungua 6 huku michezo mitatu ikicheza ugenini na michezo mingine 3 ikicheza uwanja wake wa nyumbani. Hivyo kukamilisha michezo yake sita.

Changamoto na Matumaini

Yanga inakabiliwa na changamoto kadhaa:

  • Ratiba yenye msongamano wa mechi za ndani na nje
  • Kusafiri umbali mrefu kwa mechi za ugenini
  • Hali ya hewa tofauti katika nchi mbalimbali

Hata hivyo, kuna sababu kadhaa za kuwa na matumaini:

  1. Wana wachezaji wa kimataifa wenye uzoefu
  2. Kocha mpya mwenye ujuzi wa michuano ya Afrika
  3. Msaada mkubwa kutoka kwa mashabiki

Maandalizi ya Timu

Yanga SC imekuwa ikifanya mazoezi makali kwa ajili ya michuano hii. Wachezaji wamekuwa wakipata mafunzo maalum na timu ya utabibu imehakikisha kwamba wote wako katika hali nzuri ya kimwili.

Msaada wa Mashabiki

Mashabiki wa Yanga, walio wengi wakiitwa ‘Wananchi’, wamekuwa wakionyesha msaada mkubwa kwa timu yao. Kila mechi ya nyumbani inatarajiwa kujaa uwanja, huku mashabiki wakiimba na kuwatia moyo wachezaji wao.

Hitimisho

Ratiba ya Yanga SC katika Michuano ya Klabu Bingwa Afrika inaonyesha safari ndefu na yenye changamoto mbele yao. Hata hivyo, kwa msaada wa mashabiki wao waaminifu na maandalizi mazuri, Yanga ina nafasi nzuri ya kufanya vizuri katika michuano hii. Mashabiki wote wa mpira wa miguu Tanzania wanasubiri kwa hamu kuona jinsi ‘Wananchi’ watakavyofanya katika jukwaa hili la Afrika.

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Makundi ya Klabu Bingwa Africa Msimu wa 2024/2025

2. Ratiba Ya Mechi za Chelsea Zilizobaki Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) 2024/2025

3. Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Zilizobaki Ligi Kuu Ya NBC Msimu Wa 2024/2025

4. Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbali Mbali Duniani

5. Mchezaji mwenye Magoli mengi Tanzania

Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.

Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku

BONYEZA HAPA

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleKundi la Simba Sc Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
Next Article Ratiba ya Michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
Kisiwa24

Related Posts

Michezo

MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

December 7, 2025
Michezo

Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

December 7, 2025
Michezo

Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara

December 7, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania
  • Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa
  • Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs Majina ya Nyongeza
  • Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Umma

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025777 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025438 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025410 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.