Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier Msimu Wa 2024/2025
Habari ndugu mpenzi mfuatiliaji wa blog yako pendwa ya Habarika24, Kama ilivyokua ada yetu kukuletea taarifa mbali mbali na leo katika ukrasa huu tunaenda kukupa ratiba kamili ya mechi za klabu ya Simba ali maarufu kama wekundu wa msimbazi kwenye ligi kuu ya Nbc Tanzania bara msimu wa 2024/2025.
Kama tunavyo fahamu kua mnamo 16/08/2024 ligi kuu ya Nbc Tanzania msimu wa 2024/2025 ilianza kwa mchezo wa ufunguzi wa ligi hiyo uliozikutanisha timu mbili Pamba Jiji na Tanzania Prisons katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza.
Hivyo basi kulekea kuanza kwa ligi kuu ya Nbc premier msimu wa 2024/2025 tumeamua kukuletea mechi zote za Simba Sc kuanzia mzunguko wa kwanza hadi mzunguko wa mwisho.
Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier Msimu Wa 2024/2025
Simba Sc ni moja kati ya timu bora zaidi katika ligi kuu ya Nbc Premier kwa misimu kadhaa iliyopita, timu hii inamasikani yake jijini Dar es Salaam na hutumia uwanja wa KMC Complex ulioko jiji Dar es Salaam kam uwanja wake wa nyumbani.
Mzunguko Wa 1
Siku: 8/18/2024
Timu: Simba SC VS Tabora United
Muda: 16:15
Uwanja: KMC Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 2
Siku: August 25, 2024
Timu: Simba SC VS Fountain Gate
Muda: 16:00
Uwanja: KMC Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 3
Siku: October 22, 2024
Timu: Tanzania Prisons VS Simba SC
Muda: 16:00
Uwanja: Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 4
Siku: TBA – Tarehe na siku rasmi bado haijatangazwa
Timu: Azam FC VS Simba SC
Muda: TBA – Muda rasmi wa mchezo huu bado haujatangazwa
Uwanja: Benjamin Mkapa Dar es Salaam
Mzunguko Wa 5
Siku: TBA – Tarehe na siku rasmi bado haijatangazwa
Timu: Simba SC VS Namungo FC
Muda: TBA – Muda rasmi wa mchezo huu bado haujatangazwa
Uwanja: KMC Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 6
Siku: September 29, 2024
Timu: Dodoma Jiji VS Simba SC
Muda: 18:30
Uwanja: Jamhuri Stadium Dodoma
Mzunguko Wa 7
Siku: October 4, 2024
Timu: Simba SC VS Coastal Union
Muda: 16:15
Uwanja: KMC Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 8
Siku: October 19, 2024
Timu: Simba SC VS Young Africans
Muda: 17:00
Uwanja: KMC Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 9
Siku: TBA – Tarehe na siku rasmi bado haijatangazwa
Timu: Mashujaa FC VS Simba SC
Muda: TBA – Muda rasmi wa mchezo huu bado haujatangazwa
Uwanja: Lake Tanganyika Kigoma
Mzunguko Wa 10
Siku: TBA – Tarehe na siku rasmi bado haijatangazwa
Timu: Simba SC VS JKT Tanzania
Muda: TBA – Muda rasmi wa mchezo huu bado haujatangazwa
Uwanja: KMC Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 11
Siku: TBA
Timu; Simba SC VS KMC FC
Muda: TBA
Uwanja: TBA Dar es Salaam
Mzunguko Wa 12
Siku; Thursday, November 21, 2024
Timu: Pamba Jiji VS Simba SC
Muda; 16:15
Uwanja; CCM Kirumba Mwanza
Mzunguko Wa 13
Siku: Saturday, November 30, 2024
Timu: Singida BS VS Simba SC
Muda; 16:15
Uwanja: CCM Liti Singida
Mzunguko Wa 14
Siku: TBA
Timu: Simba SC VS KenGold FC
Muda;
Uwanja;
TBA KMC Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 15
Siku: TBA
Timu: Kagera Sugar VS Simba SC
Muda: TBA
Uwanja; Kaitaba Stadium Kagera
Mzunguko Wa 16
Siku:Sunday, December 22, 2024
Timu: Tabora United VS Simba SC
Muda: 16:00
Uwanja: Ali Hassan Mwinyi Tabora
Mzunguko Wa 17
Siku: Saturday, December 28, 2024
Timu: Fountain Gate VS Simba SC
Muda: 16:15
Uwanja: Tanzanite Kwaraa Manyara
Mzunguko Wa 18
Siku: Sunday, January 19, 2025
Timu: Simba SC VS Tanzania Prisons
Muda: 19:00
Uwanja: Benjamin Mkapa Dar es Salaam
Mzunguko Wa 19
Siku: Saturday, January 25, 2025
Timu: Simba SC VS Dodoma Jiji
Muda: 18:30
Uwanja: Benjamin Mkapa Dar es Salaam
Mzunguko Wa 20
Siku: Sunday, February 2, 2025
Timu; Namungo FC VS Simba SC
Muda: 18:30
Uwanja: Majaliwa Stadium Lindi
Mzunguko Wa 21
Siku: Saturday, February 15, 2025
Timu: Simba SC VS Azam FC
Muda: 19:00
Uwanja: Benjamin Mkapa Dar es Salaam
Mzunguko Wa 22
Siku: Sunday, February 23, 2025
Timu: Coastal Union VS Simba SC
Muda: 19:00
Uwanja: Mkwakwani Tanga
Mzunguko Wa 23
Siku: Saturday, March 1, 2025
Timu: Young Africans VS Simba SC
Muda: 17:00
Uwanja: Benjamin Mkapa Dar es Salaam
Mzunguko Wa 24
Siku: Saturday, March 8, 2025
Timu: Simba SC VS Mashujaa FC
Muda: 19:00
Uwanja: Benjamin Mkapa Dar es Salaam
Mzunguko Wa 25
Siku: Saturday, March 29, 2025
Tiumu: JKT Tanzania VS Simba SC
Muda: 16:15
Uwanja: Mej. Jen. Isamuhyo Dar es Salaam
Mzunguko Wa 26
Siku: Sunday, April 13, 2025
Timu: KMC FC VS Simba SC
Muda: 16:15
Uwanja: KMC Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 27
Siku: TBA
Timu: Simba SC VS Pamba Jiji
Muda: 19:00
Uwanja: Benjamin Mkapa Dar es Salaam
Mzunguko Wa 28
Siku: Saturday, May 3, 2025
Timu: Simba SC VS Singida BS
Muda: 19:00
Uwanja: Benjamin Mkapa Dar es Salaam
Mzunguko Wa 29
Siku: Saturday, May 17, 2025
Timu: KenGold FC VS Simba SC
Muda: 16:00
Uwanja: TBA
Mzunguko Wa 30
Siku: Saturday, May 24, 2025
Timu: Simba SC VS Kagera Sugar
Muda: 16:00
Uwnaja: TBA
Kama tulivyokwisha Kusema hapa awali makala hii nimeangazia ratiba kamili ya klabu ya Simba SC klabu toka kuanza kwa mchezo wa kwanza hadi mchezo wa kumaliza ligi.
Je wewe ni shabiki wa wekundu wa msimbazi Simba? embu roa utabiri wako hapo chini kwa kutumia uwanja wa komenti juu ya nafasi ya simba katika kumaliza ligi kuu ya Nbc kwnyw msimamo wakr.
Soma Pia:
>Matokeo Ya Mechi Mbali Mbali Duniani leo
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku