RATIBA ya Mechi Za Simba Sc June 2025 NBC
Ikiwa zimebaki mechi tatu tu ili iligi ya NBC Tanzania bara iweze kukuamilika hapa kiswa24 tunakuletea ratiba ya wekundu wa msimbazi Simba Sc kwa mwezi June.
Michezo hii ninmichezo ya mwisho kuelekea kumalizika kwa ligi kuu ya NBC Tanzia bara.
Michezo ya kumaliza ligi itafanyika tarehe 22 June 2025
Ratiba ya Simba Sc June 2025
15/06/2025
Yanga Sc vs Simba Sc
18/06/2025
KenGold vs Simba Sc
22/06/2025
Kagera Sugar vs Simba Sc