Ratiba ya Mechi za Liverpool Ligi Kuu ya Uingereza EPL 2024/2025, mechi za Liverpool EPL 2024, mechi za Liverpool zilizobaki ligi kuu ya Uingereza 2024/2025, Karibu katika makala hii fupi ya kimichezo itakayoenda kuangazia juu ya Ratiba kamili ya mechi za Liverpool kwenye ligi kuu ya EPL msimu wa 2024/2025.
Liigi Kuu ya Uingereza EPL
EPL ni moja ya ligi pendwa zaidi duniani inafuatiliwa na ma milioni ya mashabiki wa mpira wa miguu kutoka kila pande ya Dunia. Imekua ligi yenye kuburudisha na hisia zaidi kulingana na ubora wa vilabu vinavyoshiriki michuano hiyo iliyoko nchini Uingereza.
Ratiba ya Mechi za Liverpool Ligi Kuu ya Uingereza EPL 2024/2025
Liverpool ni moja ya virabu bora zaidi vinavyoshiriki kwenye michuano ya ligi kuu ya Uingereza EPL kwa msimu huu mpya wa 2024/2025. Hapa tutaenda kuangalia ratiba ya michezo yote ya klbau ya Liverpool tangu kuanza kwa ligi haki kumalizika kwa ligi hiyo ya EPL
Mechi za January 2025
Everton vs Liverpool
Uwanja; Goodison Park, Liverpool
Sunday 5 January 2025
- Liverpool vs Man Utd
- Muda; 19:30
- Uwanja; Anfield, Liverpool
Tuesday 14 January 2025
- Nott’m Forest vs Liverpool
- Muda; 23:00
- Uwanja; The City Ground, Nottingham
Saturday 18 January 2025
- Brentford vs Liverpool
- Muda; 18:00
- Uwanja; Gtech Community Stadium, Brentford
Saturday 25 January 2025
- Liverpool vs Ipswich
- Muda; 18:00
- Uwanja; Anfield, Liverpool
Mechi za February 2025
Saturday 1 February 2025
- Bournemouth vs Liverpool
- Muda; 18:00
- Uwanja; Vitality Stadium, Bournemouth
Sunday 16 February 2025
- Liverpool vs Wolves
- Muda; 17:00
- Uwanja; Anfield, Liverpool
Sunday 23 February 2025
- Man City vs Liverpool
- Muda; 19:30
- Uwanja; Etihad Stadium, Manchester
Wednesday 26 February 2025
- Liverpool vs Newcastle
- Muda; 23:00
- Uwanja; Anfield, Liverpool
Mechi za March 2025
Saturday 8 March 2025
- Liverpool vs Southampton
- Muda; 18:00
- Uwanja; Anfield, Liverpool
Saturday 15 March 2025
- Aston Villa vs Liverpool
- Muda; 18:00
- Uwanja; Villa Park, Birmingham
Mechi za April 2025
Wednesday 2 April 2025
- Liverpool vs Everton
- Muda; 22:00
- Uwanja; Anfield, Liverpool
Saturday 5 April 2025
- Fulham vs Liverpool
- Muda; 17:00
- Uwanja; Craven Cottage, London
Saturday 12 April 2025
- Liverpool vs West Ham
- Muda; 17:00
- Uwanja; Anfield, Liverpool
Saturday 19 April 2025
- Leicester vs Liverpool
- Muda; 17:00
- Uwanja; King Power Stadium, Leicester
Saturday 26 April 2025
- Liverpool vs Spurs
- Muda; 17:00
- Uwanja; Anfield, Liverpool
Mechi za May 2025
Saturday 3 May 2025
- Chelsea vs Liverpool
- Muda; 17:00
- Uwanja; Stamford Bridge, London
Saturday 10 May 2025
- Liverpool vs Arsenal
- Muda; 17:00
- Uwanja; Anfield, Liverpool
Sunday 18 May 2025
- Brighton vs Liverpool
- Muda; 17:00
- Uwanja; American Express Stadium, Falmer
Sunday 25 May 2025
- Liverpool vs Crystal Pal
- Muda; 18:00
- Anfield, Liverpool