WALIO CHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2025

_________________________________________________

MATANGAZO YA AJIRA  KILA SIKU BOFYA HAPA

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025

Filed in Michezo by on October 25, 2024 0 Comments

Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025

Tangazo

Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga

Ligi Kuu ya NBC Tanzania ni mojawapo ya mashindano maarufu na yenye msisimko mkubwa katika medani ya soka nchini. Ligi hii inasimamiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ambalo limekuwa likifanya kazi kubwa kuhakikisha kuwa ligi inakua na inaboresha kiwango cha soka nchini. Msimu wa 2024/2025 unatarajiwa kuwa na ushindani mkali na burudani ya hali ya juu kutokana na ushiriki wa timu zenye uwezo na rekodi nzuri.

Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025

Hapa Tumekuwekea ratiba ya Ligi kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 kwa roundi ya KWANZA hapa utapata michezo ya mechi zote kwa roundi ya 1;

Siku; 8/16/2024

Timu; Pamba Jiji VS Tanzania Prisons

Muda; 16:00

Uwanja; CCM Kirumba

Siku; 8/17/2024

Timu; Mashujaa FC VS Dodoma Jiji

Muda; 16:00

Uwanja; Lake Tanganyika

Siku; 8/17/2024

Timu; Namungo FC Vs Fountain Gate

Muda; 19:00

Uwanja; Majaliwa Stadium

Siku; 8/18/2024

Timu; KenGold FC VS Singida BS

Muda; 14:00

Uwanja; Sokoine Stadium

Siku; 8/18/2024

Timu; Simba SC VS Tabora United

Muda; 16:15

Uwanja; KMC Complex

Siku; 8/28/2024

Timu; JKT Tanzania VS Azam FC

Muda; 16:00

Siku; 8/29/2024

Timu; KMC FC VS Coastal Union

Uwanja; Mej. Jen. Isamuhyo

Muda; 16:00

Uwanja; KMC Complex

Siku; 8/29/2024

Timu; Kagera SugarV S Young Africans

Muda; 19:00

Uwanja; Kaitaba Stadium

 

Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Round 2 Msimu Wa 2024/2025

Hapa Tumekuwekea Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 kwa roundi ya PILI hapa utapata michezo ya mechi zote kwa roundi ya 2;

Muda; Friday, August 23, 2024

Timu; Mashujaa FC VS Tanzania Prisons

Muda; 16:00

Uwanja Lake Tanganyika Kigoma

Siku; Saturday, August 24, 2024

Timu; Pamba Jiji VS Dodoma Jiji

Muda; 16:00

Uwanja; CCM Kirumba Mwanza

Siku; Saturday, August 24, 2024

Timu; Kagera Sugar VS Singida BS

Muda; 19:00

Uwanja; Kaitaba Stadium Kagera

Siku; Sunday, August 25, 2024

Timu; Simba SC VS Fountain Gate

Muda; 16:00

Uwanja; KMC Complex Dar es Salaam

Siku; Sunday, August 25, 2024

Timu; Namungo FC VS Tabora United

Muda; 19:00

Uwanja; Majaliwa Stadium Lindi

Siku; Wednesday, September 25, 2024

Timu; JKT Tanzania VS Coastal union

Muda; 14:00 Mej.

Uwanja; Jen. Isamuhyo Dar es Salaam

Siku; Wednesday, September 25, 2024

Timu; KenGold FC VS Young Africans

Muda; 16:15

Uwanja; Sokoine Stadium Mbeya

Siku; Thursday, September 26, 2024

Timu; KMC FC VS Azam FC

Muda; 16:00

Uwanja; KMC Complex Dar es Salaam

 

Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Round 3 Msimu Wa 2024/2025

Hapa Tumekuwekea ratiba ya Ligi kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 kwa roundi ya TATU hapa utapata michezo ya mechi zote kwa roundi ya 3;

Siku; Wednesday, September 11, 2024

Timu; United VS Kagera Sugar

Muda; 14:00

Uwanja; Ali Hassan Mwinyi Tabora

Siku; Wednesday, September 11, 2024

Timu; Fountain Gate VS KenGold FC

Muda; 16:15

Uwanja; Tanzanite Kwaraa Manyara

Siku; Thursday, September 12, 2024

Timu; Singida BS VS KMC FC

Muda; 16:00

Uwanja; CCM Liti Singida

Siku; Thursday, September 12, 2024

Timu; Dodoma Jiji VS Namungo FC

Muda; 19:00

Uwanja; Jamhuri Stadium Dodoma

Siku; Monday, October 21, 2024

Timu; Coastal Union VS Mashujaa FC

Muda; 16:00

Uwanja; KMC Complex Dar es Salaam

Siku; Monday, October 21, 2024

Timu; Azam FC VS Pamba Jiji

Muda; 19:00

Uwanja; Azam Complex Dar es Salaam

Siku; Tuesday, October 22, 2024

Timu; Tanzania Prisons VS Simba SC

Muda; 16:00

Uwanja; Sokoine Stadium Mbeya

Siku; Tuesday, October 22, 2024

Timu; Young Africans VS JKT Tanzania

Muda; 19:00

Uwanja; Azam Complex Dar es Salaam

 

Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Round 4 Msimu Wa 2024/2025

Siku; Saturday, September 14, 2024

Timu; Tabora United VS Tanzania Prisons

Muda; 16:00

Uwanja; Ali Hassan Mwinyi Tabora

Siku; Sunday, September 15, 2024

Timu; Pamba Jiji VS Singida BS

Muda; 14:00

Uwanja; CCM Kirumba Mwanza

Siku; Sunday, September 15, 2024

Timu; Fountain Gate VS Dodoma Jiji

Muda; 16:15

Uwanja; Tanzanite Kwaraa Manyara

Siku; Monday, September 16, 2024

Timu; KMC FC VS KenGold FC

Muda; 16:00

Uwanja; KMC Complex Dar es Salaam

Siku; Monday, September 16, 2024

Timu; Kagera Sugar VS JKT Tanzania

Muda; 19:00

Uwanja; Kaitaba Stadium Kagera

Siku; TBA

Timu; Coastal Union VS Namungo FC

Muda; TBA KMC

Uwanja; Complex Dar es Salaam

Siku; TBA

Timu; Azam FC VS Simba SC

Muda; TBA

Uwanja; Benjamin Mkapa Dar es Salaam

Siku; TBA

Timu; Young Africans VS Mashujaa FC

Muda; TBA

Uwanja; Azam Complex Dar es Salaam

Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linahusika na kupanga na kusimamia ligi mbalimbali nchini, ikiwemo Ligi Kuu ya NBC Tanzania. TFF inajukumu la kuhakikisha kuwa ligi inaendeshwa kwa uwazi na haki, ikiwa ni pamoja na kutoa ratiba ya michezo, kusimamia masuala ya nidhamu, na kuhakikisha viwanja vinakidhi viwango vya kimataifa.

  • Mzunguko wa 1: Kuanza Agosti 16, 2024
  • Mzunguko wa 2: Kuanza Agosti 24, 2024
  • Mzunguko wa 3: Kuanza Septemba 11, 2024
  • Mzunguko wa 4: Kuanza Septemba 14, 2024
  • Mzunguko wa 5: Kuanza Septemba 21, 2024
  • Mzunguko wa 6: Kuanza Septemba 28, 2024
  • Mzunguko wa 7: Kuanza Oktoba 2, 2024
  • Mzunguko wa 8: Kuanza Oktoba 19, 2024
  • Mzunguko wa 9: Kuanza Oktoba 26, 2024
  • Mzunguko wa 10: Kuanza Novemba 2, 2024
  • Mzunguko wa 11: Kuanza Novemba 9, 2024
  • Mzunguko wa 12: Kuanza Novemba 23, 2024
  • Mzunguko wa 13: Kuanza Novemba 30, 2024
  • Mzunguko wa 14: Kuanza Desemba 11, 2024
  • Mzunguko wa 15: Kuanza Desemba 14, 2024
  • Mzunguko wa 16: Kuanza Desemba 21, 2024
  • Mzunguko wa 17: Kuanza Desemba 28, 2024
  • Mzunguko wa 18: Kuanza Januari 18, 2025
  • Mzunguko wa 19: Kuanza Januari 25, 2025
  • Mzunguko wa 20: Kuanza Februari Mosi, 2025
  • Mzunguko wa 21: Kuanza Februari 15, 2025
  • Mzunguko wa 22: Kuanza Februari 22, 2025
  • Mzunguko wa 23: Kuanza Machi Mosi, 2025
  • Mzunguko wa 24: Kuanza Machi 8, 2025
  • Mzunguko wa 25: Kuanza Machi 29, 2025
  • Mzunguko wa 26: Kuanza Aprili 12, 2025
  • Mzunguko wa 27: Kuanza Aprili 19, 2025
  • Mzunguko wa 28: Kuanza Mei 3, 2025
  • Mzunguko wa 29: Kuanza Mei 17, 2025
  • Mzunguko wa 30: Kuanza Mei 24, 2025

Tafadhali kumbuka: Ratiba hii inaweza kubadilika kulingana na maamuzi ya TPL na matukio mengine yasiyotarajiwa. Endelea kufuatilia tovuti rasmi ya TPL na vyombo vya habari kwa taarifa zaidi na ratiba iliyosasishwa

Idadi ya Timu

Msimu wa 2024/2025 wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania utashirikisha jumla ya timu 16 ambazo zitachuana kuwania ubingwa. Timu hizi zinajumuisha vigogo wa soka kama Simba SC, Yanga SC, Azam FC, na KMC. Pia kuna timu mpya zilizopanda daraja ambazo zitakuwa na hamasa kubwa ya kuonyesha uwezo wao katika ligi kuu.

Timu Zilizopanda Daraja

Miongoni mwa timu mpya zilizopanda daraja msimu huu ni pamoja na KenGold FC​, ambayo imeonyesha uwezo mkubwa katika ligi daraja la kwanza. Kupanda kwao daraja ni ushahidi wa juhudi na mipango thabiti ya klabu hii, na sasa wanatarajiwa kuleta ushindani mpya katika Ligi Kuu.

KenGold FC

KenGold ndio mabingwa wa NBC Championship Wakiwa kileleni mwa jedwali wakiwa na alama 70, KenGold imekuwa timu bora sana msimu huu imefanikiwa kucheza mechi 30, ushindi 21, droo 7 na kupoteza 2.

2.Pamba FC​

Wakishika nafasi ya pili wakiwa na pointi 67, Pamba pia wamejihakikishia kupanda Ligi Kuu. Wamekuwa na mbio za kuvutia na wameshinda michezo 20, sare 7, na kupoteza 3.

Timu Zinazoshiriki

  1. Simba SC: Moja ya klabu kongwe na yenye mafanikio makubwa katika historia ya soka la Tanzania. Simba inajivunia mashabiki wengi na rekodi nzuri ya ubingwa.
  2. Yanga SC: Pia ni klabu yenye historia ndefu na mafanikio mengi, ikiwa na mashabiki wengi na ushindani mkali dhidi ya Simba SC.
  3. Azam FC: Timu hii imeweza kujijengea jina kubwa kwa muda mfupi, ikijulikana kwa uwekezaji mkubwa na maendeleo ya haraka.
  4. KMC: Timu inayomilikiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, imekuwa na maendeleo mazuri na inazidi kuimarika kila msimu.
  5. Singida Big Star: Timu mpya iliyopanda daraja, ikitarajiwa kuleta ushindani mpya katika ligi.

Ratiba ya Msimu

Hadi sasa, TFF bado haijatoa ratiba rasmi ya msimu wa 2024/2025. Hata hivyo, mashabiki wanashauriwa kuendelea kufuatilia tovuti yetu ya habario50.com kwa habari za uhakika na za haraka kuhusu ratiba hiyo na matukio mengine muhimu ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania.

Hitimisho

Msimu wa 2024/2025 wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania unatarajiwa kuwa wa kusisimua na wenye ushindani mkubwa. Timu 16 zitapambana kuwania taji la ubingwa, huku mashabiki wakitarajiwa kupata burudani ya hali ya juu. habarika24.com inawaomba kuendelea kutembelea ukurasa huu ili kupata habari mpya na ratiba ya ligi itakapotolewa na TFF.

Soma Pia;

>>Tiketi na Bei ya Viingilio vya Wiki ya Mwananchi 2024

>>Ligi Bora Africa 2024 | Viwango vya ubora CAF Ranking

>>Ratiba ya treni za SGR Dar es Salaam na Morogoro

>>Soma Nauli za treni ya mwendokasi SGR

>>Soma Nauli za treni ya mwendokasi SGR

Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.

Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku

BONYEZA HAPA

MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA
MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *