Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Michezo»Ratiba ya Mechi za Simba SC NBC Premier League 2025/2026
Michezo

Ratiba ya Mechi za Simba SC NBC Premier League 2025/2026

Kisiwa24By Kisiwa24September 19, 2025No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Ratiba Kamili ya Simba SC NBC Premier League 2025/2026

Ratiba Kamili ya Simba SC NBC Premier League 2025/2026

Klabu ya Simba Sports Club inatarajiwa kuanza rasmi kampeni yake ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara (NBC Premier League) kwa msimu wa 2025/2026 kwa mchezo wa kwanza dhidi ya Fountain Gate FC utakaopigwa tarehe 25 Septemba 2025.

Baada ya mchezo huo wa ufunguzi, Simba SC itashuka dimbani tena tarehe 1 Oktoba 2025 kuivaa Namungo FC ya mkoani Lindi katika mchezo wa pili wa ligi hiyo.

Simba SC itamalizia msimu wake wa 2025/2026 kwa mchezo wa mwisho dhidi ya KMC FC utakaopigwa tarehe 23 Mei 2026. Mashabiki wa klabu hiyo maarufu wanatarajiwa kushuhudia msimu wenye ushindani mkubwa, huku Simba SC ikipania kurejesha taji la ubingwa.

Ratiba Kamili ya Simba SC – NBC Premier League 2025/2026

 

Tarehe Saa Mechi
25 Septemba 2025 16:00 Simba SC 🆚 Fountain Gate FC
01 Oktoba 2025 16:00 Simba SC 🆚 Namungo FC
30 Oktoba 2025 16:00 TRA United 🆚 Simba SC
02 Novemba 2025 16:00 Simba SC 🆚 Azam FC
05 Novemba 2025 16:00 JKT Tanzania FC 🆚 Simba SC
03 Desemba 2025 19:00 Dodoma Jiji FC 🆚 Simba SC
10 Desemba 2025 16:00 Tanzania Prisons 🆚 Simba SC
13 Desemba 2025 17:00 Young Africans 🆚 Simba SC
TBC Januari 2026 TBC Simba SC 🆚 Mtibwa Sugar FC
TBC Februari 2026 TBC Singida Black Stars 🆚 Simba SC
TBC Februari 2026 TBC KMC FC 🆚 Simba SC
TBC Februari 2026 TBC Simba SC 🆚 TRA United
19 Februari 2026 16:15 Simba SC 🆚 Mashujaa FC
22 Februari 2026 16:00 Simba SC 🆚 Coastal Union FC
25 Februari 2026 16:00 Pamba Jiji FC 🆚 Simba SC
28 Februari 2026 16:00 Simba SC 🆚 Mbeya City FC
05 Machi 2026 16:15 Fountain Gate FC 🆚 Simba SC
TBC Machi 2026 TBC Namungo FC 🆚 Simba SC
TBC Machi 2026 TBC Azam FC 🆚 Simba SC
TBC Machi 2026 TBC Simba SC 🆚 JKT Tanzania FC
TBC Aprili 2026 TBC Simba SC 🆚 Tanzania Prisons FC
04 Aprili 2026 TBC Simba SC 🆚 Young Africans
TBC Aprili 2026 TBC Mashujaa FC 🆚 Simba SC
TBC Aprili 2026 TBC Coastal Union FC 🆚 Simba SC
TBC Aprili 2026 TBC Simba SC 🆚 Dodoma Jiji FC
TBC Mei 2026 TBC Simba SC 🆚 Pamba Jiji FC
TBC Mei 2026 TBC Mbeya City FC 🆚 Simba SC
14 Mei 2026 16:00 Mtibwa Sugar FC 🆚 Simba SC
20 Mei 2026 16:00 Simba SC 🆚 Singida Black Stars
23 Mei 2026 16:00 Simba SC 🆚 KMC FC
Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleRatiba ya Mechi za Yanga SC Msimu wa 2025/2026 Ligi Kuu ya NBC
Next Article Msimamo UEFA Champions League 2025/2026
Kisiwa24

Related Posts

Michezo

MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

December 7, 2025
Michezo

Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

December 7, 2025
Michezo

Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara

December 7, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 20251,118 Views

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025787 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025446 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.