Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Ajira»PDF ya Majina Walioitwa Kwenye Mafunzo Ya Jeshi La Zimamoto Na Uokoaji MAY 2025
Ajira

PDF ya Majina Walioitwa Kwenye Mafunzo Ya Jeshi La Zimamoto Na Uokoaji MAY 2025

Kisiwa24By Kisiwa24May 4, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linatangaza majina ya waliochaguliwa kuhudhuria mafunzo ya Uaskari ngazi ya Konstebo wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

  • Wahusika wote wanatakiwa kufika Chuo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilichopo Chogo Wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga kuanzia tarehe 16 Mei, 2025 hadi tarehe 18 Mei, 2025 bila kukosa; kwa ambaye hatafika chuoni kwa tarehe zilizopangwahatapokelewa na nafasi yake itachukuliwa na mtu mwingine.
  • Kufika chuoni shuka kituo cha Kabuku kilichopo kilometa 12 toka chuoni. Chuo kimeandaa utaratibu maalumu wa kuwapokea kwa tarehe zilizotajwa hapo juu, kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 4 usiku.
  • Mhusika atapaswa kujigharamia nauli ya kwenda sambamba na chakula na malazi kwa siku zote ambazo atakuwa hajapokelewa Chuoni.
  • Mhusika anapaswa kuja akiwa na vyeti halisi vya masomo, taaluma au ujuzi alioombeapamoja na cheti c ha kuzaliwa, kitambulisho cha NIDA au namba na leseni hai kwa walioomba nafasi ya udereva. Vyeti vyote tajwa hapo juu viwe na nakala tatu kwa kila
  • cheti pia vyeti hivyo vitakaguliwa na kwa ambaye majina yake yatatofautiana kati ya vyeti
  • vya shule/taaluma, NIDA na cheti cha kuzaliwa watarudishwa na nafasi zao zitachukuliwa
  • na wengine.
  • Mhusika atakapofika chuoni awe tayari kupimwa afya ya mwili, akili na Mimba kwa wanawake na ambaye atabainika kuwa na kasoro za kiafyahataruhusiwa kuendelea na mafunzo na atarudishwa kwa gharama zake na nafasi yake itachukuliwa na mtu mwingine.

Wahusika wote wanatakiwa kuja na vifaa vifuatavyo:

  • Mashuka mawili (02) ya rangi yabluu,
  • Mto 01 na foronya 02 ya rangi ya bluu,
  • Chandarua 01 rangi ya bluu (cha duara),
  • Ndoo ya plastiki ya lita 20,
  • Sahani na kikombe cha bati,
  • Fedha kiasi kwa matumizi binafsi
  • Bima za afya kwa walionazo.

Aidha vifaa vifuatavyo watanunua kwenye duka la Chuo,

  • Raba za michezo,
  • Fulana (T-shirt) rangi ya bluu,
  • Madaftari makubwa (counter books 4quire 5 pcs),
  • Vifaa vya michezo (truck suite, bukta bluu, na fulana)
  • Kalamu.

BONYEZA HAPA KUPAKUA PDF FILE LA MAJINA

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleAda, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Morogoro 2025/2026
Next Article PDF: Majina Ya Walioitwa Kazini Utumishi Mei 2025
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025
Ajira

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025
Ajira

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025783 Views

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 2025548 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025445 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.