Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

December 12, 2025

Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa

December 9, 2025

Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs Majina ya Nyongeza

December 9, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Ajira»PDF: MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 24 June 2025
Ajira

PDF: MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 24 June 2025

Kisiwa24By Kisiwa24June 24, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa
nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-09-2024 na tarehe 18-05-2025 kuwa matokeo
ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

PDF: MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 24 June 2025

Orodha ya
majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa
kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana
Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa
vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My
Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na
Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa
Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na
vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe
na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili
watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine
nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 24 June 2025

Hapa chini ni PDF za majina ya walioitwa kazini Taasisi Mbalimbali kupitia utumishi 24 /06/2025.Ili kiweza kutizama majina hayo tafadhari bonyeza kwenye kila PDF hapo Chini

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 24-06-2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 24-06-2025
Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleKIKOSI cha Yanga Sc vs Simba Sc Leo 25 June 2025
Next Article Orodha ya Vyuo Vya Ualimu Wa Shule Ya Msingi Tanzania
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa

December 9, 2025
Ajira

Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs Majina ya Nyongeza

December 9, 2025
Ajira

Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Umma

December 9, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania
  • Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa
  • Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs Majina ya Nyongeza
  • Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Umma
  • MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025776 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025437 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025406 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.