Orodha ya Makombe Yote ya Simba SC Kwenye Ligi Kuu Tanzania,Makombe aliyoshinda Simba Tanzania, Habari mwana Simba SC karibu katika makala hii fupi ya kimichezo itakayoenda kukupa wasaha wa kuweza kufahamu idadi kamili ya makombe amabayo klabu yako ya Simba imeweza kujikusanyia kutoka ligi mbali mbali za Tanzania tangu kuanzishwa kwake.
Orodha ya Makombe Yote ya Simba SC Kwenye Ligi Kuu Tanzania
Utakapo zungunmzia vilabu bora nchini Tanzania huwezi kuacha kuizungumzia klabu ya Simba kwani ni miongoni mwa klabu kubwa zaidi nchini Tanzania na yenye mafanikio makubwa zaidi ukilinganisha na klabu nyingine.
Makombe ya Simba SC Ligi Kuu Tanzania
Kwenye ligi kuu ya Tanzania klabu ya Simba imefanikiwa kuchukua ubingwa mar 22, japo ligi kuu ya Tanzania bado inaendela tunatumaini ordha hii ya ubingwa wa Simba kwenye ligi kuu inaweza kubadilika vilevile.
- 1965
- 1966
- 1973
- 1976
- 1977
- 1978
- 1979
- 1980
- 1993
- 1994
- 1995
- 2001
- 2002
- 2003
- 2004
- 2007
- 2009–10
- 2011–12
- 2017–18
- 2018–19
- 2019–20
- 2020–21
Hivyo basi ukichukua makombe yote amabayo Simba ameshinda kwenye michuano mbali mbali Tanzani anakua na makombe 55. Kwenye ligi kuu ya Tanzania Simba Sc inakua ni timu ya 2 kwa kua na makombe mengi ya ligi hiyo huku rekodi ya namba moja ikishikiliwa na klabu ya Yanga.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbali Mbali
2. Msimamo wa Ligi ya NBC Championship Tanzania 2024/2025