Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

December 12, 2025

NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

December 12, 2025

Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa

December 9, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Michezo»Makombe yenye Thamani Kubwa Barani Ulaya
Michezo

Makombe yenye Thamani Kubwa Barani Ulaya

Kisiwa24By Kisiwa24April 29, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Orodha ya Makombe yenye Thamani Kubwa Zaidi Barani Ulaya, Habari mwanamichezo wa Kisiwa24, Makala itaenda kuangazi makombe yenye thamani kubwa zaidi ulaya kwa ujumla wake.

Kama wewe ni mpenzi wa soka basi sina shaka utakua na shahuku ya kutaka kufahamu miongoni mwa makombe unayoyafahamu ni kombe lipi linathamani zaidi ya jingine kwa ligi na michuano ya barani ulaya.

Orodha ya Makombe yenye Thamani Kubwa Zaidi Barani Ulaya

Hapa chini ni orodha ya makombe manne yenye thamani kubwa zaidi ulaya

1. Kombe la Dunia La FIFA (FIFA World Cup)

  • Kombe hili hushindaniwa na mataifa mbalimbali Duniani kupitia timu zao za Taifa
  • Limathamani ya karibia Dola Milioni 30
  • Hili ndio kombe leney thamani na hadhi kubwa zaidi kuliko makombe yote

Orodha ya Makombe yenye Thamani Kubwa Zaidi Barani Ulaya

2. Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions Leuge)

  • Kombe la vilabu bingwa barani ulaya
  • Linathamai ya zaidi ya Euro Milion 17, sawa n Dola milioni 18.5
  • Hili ndio kombe lenye thamani kubwa kuliko jingine lolote lile duniani upande wa mashindano ya vilabu

Orodha ya Makombe yenye Thamni Kubwa Zaidi Barani Ulaya

3. FA Cup

  • Kombe hili liko nchini Uingereza na hujumuisha klabu mbalimbali
  • Lina thamani ya zaidi ya Euro Milioni 1 sawa na Dola Milioni 1.3

Orodha ya Makombe yenye Thamni Kubwa Zaidi Barani Ulaya

4. UEFA Super Cup

  • Kombe hili hushindaniwa na washindi wa EUFA Champions Leuge na washindi kutoka EUFA Europa League
  • Linathamani ya chini ya Euro Milioni 1

Orodha ya Makombe yenye Thamni Kubwa Zaidi Barani Ulaya

Hitimisho

Haya ndio makombe yenye thamani zaidi barani ulaya, lakini kombe la dunia ndio linaloshikilia rekodi ya kua na thamani zaidi kuliko kombe jingine lolote lile.Je wewe unafahamu kombe lipi lenye thamani kubwa zaidi barani ulaya? embu acha komenti yako kwenye uwanja wa meseji hapo chini.

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Listi ya Wachezaji Waliocheza Mechi Nyingi zaidi Timu ya Taifa Tanzania

2. Ratiba Ya Ligi Kuu England

3. Wachezaji wanaolipwa pesa nyingi Tanzania

4. Ligi Bora Africa

5. CAF Orodha Ya Vilabu Bora

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleSifa za kujiunga Na Chuo Cha Hubert Kairuki 2025/2026
Next Article CV ya Elie Mpanzu Mchezaji Mpya wa Simba SC
Kisiwa24

Related Posts

Michezo

MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

December 7, 2025
Michezo

Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

December 7, 2025
Michezo

Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara

December 7, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania
  • Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa
  • Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs Majina ya Nyongeza
  • Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Umma

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025777 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025438 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025414 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.