Orodha ya Mabingwa Kombe la Shirikisho Afrika, Timu Zilizoshinda Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) Mara Nyingi,CAF Confederation Cup winners List,Orodha Ya Mabingwa Kombe la Shirikisho Afrika History Wikipedia. Habari ya wakati mwingine tena wewe mwanmichezo wa Kisiwa24 Blog. Karibu katika kurasa hii ya kimichezo ambayo kwa kifupi itaenda kuangazia juu ya orodha ya mabingwa wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika hadi sasa.
Ikiwa ni miongoni mwa wafuatiliaji wa mpira wa miguu barani afrika basi utakua na ufahamu juu ya ligi ya kombe la shirikisho barani Afrika. Michuano hii inashika nafasi ya 2 kwa ukubwa barani Afrika ikiachilia mbali mashindano ya klabu bingwa Afrika.
Michuano ya kombe la shirikisho huusisha vilabu vilivyo maliza katika nafasi ya 3 kwenye ligi mbali mbali barani Afrika.Jumla ya timu 56 kutoka vilabu mbalimbali barani Afrika hushiriki katika mchujo wa michuano ya kombe la shirikisho Afrika.
Kama tulivotangulia kusema apo awali kurasa hii itaenda kukuonyesha vilabu vilivyoweza kuchukua ubingwa wa michuano hii ya klabu bingwa Afrika tokea kuanzaishwa kwa michuano hii mwaka 2004.
Orodha ya Mabingwa Kombe la Shirikisho Afrika
Hapa chini ni jedwali linaloonyesha orodha ya mabingwa wa kombe la shirikisho barani Afrika kuanzai mwaka 2004.
Mabingwa Kombe la Shirikisho Afrika (Winners CAF Confederation Cup ) | |
Season | Winner |
2004 | ![]() |
2005 | ![]() |
2006 | ![]() |
2007 | ![]() |
2008 | ![]() |
2009 | ![]() |
2010 | ![]() |
2011 | ![]() |
2012 | ![]() |
2013 | ![]() |
2014 | ![]() |
2015 | ![]() |
2016 | ![]() |
2017 | ![]() |
2018 | ![]() |
2019 | ![]() |
2020 | ![]() |
2021 | ![]() |
2022 | ![]() |
2023 | ![]() |
2024 | ![]() |
2025 | Atawekwa baada ya Fainali |
Timu Zilizoshinda Kombe la Shirikisho Afrika, (CAF Confederation Cup) Mara Nyingi
Hapa chini tumekuwekea orodha ya timu zilizofanikiwa kubeba ubingwa wa Kombe la Shirikisho mara nyingi zaidi
Klabu zilizobeba ubingwa mara nging | |||
---|---|---|---|
Club | Idadi | Miaka | |
CS Sfaxien | 3 | 2007, 2008, 2013 | |
RS Berkane | 2 | 2020, 2022 | |
Étoile du Sahel | 2 | 2006, 2015 | |
TP Mazembe | 2 | 2016, 2017 | |
Zamalek | 2 | 2019, 2024 | |
Raja CA | 2 | 2018, 2021 |
Thamani ya Kombe la Shirikisho
Kwa takwimu za mwaka 2023 zawadi ya fedha ilikua ikitolewa kuanzia timu zilizoweza kuingia katika hatua ya robo fainaili hapa chini tumeweka uchanganuzi wa thamani ya fedha zinazotolewa kwenye timu zinazofudhu hatua ya robo fainali hadi kwa bingwa wa michuano hiyo ya Kombe la shirikisho Afrika.
Nafasi katika Ligi | Pesa anayopata |
Bingwa wa Michuano | US$2,000,000 |
Mshindi wa 2 | US$1,000,000 |
Timu za Nusu Fainali | US$750,000 |
Timu za Robo Fainali | US$550,000 |
Timu zilizoshika nafasi ya 3 Hatua ya makundi | US$400,000 |
Timu zilizoshika nafasi ya 4 Hatua ya makundi | US$400,000 |
Mapendekezo ya Mhariri
1. Orodha Ya Mabingwa Klabu Bingwa Afrika
2. Wafungaji Bora Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
3. Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025