Orodha Ya Mabingwa Klabu Bingwa Afrika, Timu Zilizoshinda Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League) Mara Nyingi,CAF Confederation Cup winners List,Orodha Ya Mabingwa Club Bingwa Africa History Wikipedia. Habari karibu katika kurasa hii itakayoenda kukupa mwongozo wa mabingwa wa club Bingwa Afrika, Hapa utaweza kutizama klabu zilizoweza kushinda Taji la ligi ya mabingwa Afrika (CAF Champions League) Tangu kuanziashwa kwake.
Michuano ya CAF Champions Laague yameanzishwa mnamo mwaka 1964 ikiwa ni mashindano yanayojumuisha klabu zilizo maliza msimu katika nafasi za juu za ligi za ndani katika mataifa ya Afrika.Hay ndio mashindano makubwa na yenye thamani zaidi barani Afrika.
Hapa katika ukursa huu tutaenda kukuonyesha orosha ya klabu zote zilizoweza kufanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano hii ya CAF Champions Laague tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964 na klabu zilizofanikiwa kuchukua ubingwa huu mara nyingi zaidi.
Orodha Ya Mabingwa Ligi ya Bingwa Afrika
Hapa chini ni orodha ya mabingwa wa ligi ya mabingwa Afrika tangu kuanzishwa kwake.
1. Al Ahly FC
2. TP Mazembe
3. Zamalek SC
4. Esperance Tunis
5. Wydad Casablanca
6. Raja Club Athletic
7. Canon Sportif de Yaoundé
8. Hafia FC
9. ES Sétif
10. Enyimba Aba
11. JS Kabylie
12. Asante Kotoko SC
13. Mamelodi Sundowns FC
14. Etoile Sportive du Sahel
15. Hearts of Oak
16. ASEC Mimosas
17. Orlando Pirates
18. Club Africain Tunis
19. FAR Rabat
20. Union sportive de Douala
21. Mouloudia Club Algérois
22. CARA Brazzaville
23. AS Vita Club Kinshasa
24. Ismaily SC
25. Stade d’Abidjan
26. Oryx Douala
Timu Zilizoshinda Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League) Mara Nyingi
1. Al Ahly FC – 12 Mara
2. TP Mazembe – 5 Mara
3. Zamalek SC – 5 Mara
4. Esperance Tunis – 4 Mara
5. Wydad Casablanca – 3 Mara
6. Raja Club Athletic – 3 Mara
7. Canon Sportif de Yaoundé – 3 Mara
8. Hafia FC – 3 Mara
9. ES Sétif – 2 Mara
10. Enyimba Aba – 2 Mara
11. JS Kabylie (2 Mara)
12. Asante Kotoko SC (2 Mara)
Mashindao haya ya Klabu bingwa Afrika ni mashindano yenye umuhimu mkubwa zaidi kwa vilabu na wachezaji kwani hutoa nafasi kwa wachezaji kuweza kujitambulisha mbele ya mataifa mengine na vilabu vikubwa zaidi. Pia huchagiza aman na ushilikiano kwa mataifa ya Afrika kwa ujumla wake huwapa nafasi wachezaji ya kupata mbinu na ujuzi mpya kutoka kwa wachezaji wengine.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Wafungaji Bora Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
2. Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025
3. Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali