Orodha ya Channel Zote za Visimbuzi Vya Azam TV, Channel zinazopatikana kwenye visimbuzi vya Azam TV, Aina ya channel zote za Azam TV,Channel za Azam Tv,Azam Tv,Habari mwanakisiwa24, embu tukukaribishe tena katika makala hii fupi itakayoenda kukuonyesha listi ya channel zote zinazopatikana kwenye kisimbuzi cha Azam Tv.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Azam Tv ni moja ya visimbuzi bora na pendwa zaidi nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla wake hii ni kutokana na channel zilizopo katika visimbuzi vyake kwa kua na vipindi vyenye maudhui ya kila aina.
Orodha ya Channel Zote za Visimbuzi Vya Azam TV
Kama unataka kujiunga na familia ya Azam Tv basi hauna budi kufahamu aina ya channel zote zinazopatikana katika visimbuzi vya Azam Tv na aina ya maudhui yatolewayo na channel hizo.
Aina ya Visimbuzi vya Azam Tv
Azam Tv ina aina kuu mbili ya visimbu, ambavyo ni
- Kisimbuzi cha Athena
- Kisimbuzi Cha Dishi
Aina ya Channel Zilizopo Kwenye Visimbuzi vya Azam TV
Azam Tv inajumuisha channel zenye maudhui ya aiana tofauti tofauti kulinga na mahitaji ya watumiaji wake, Channel nyingi za Azam Tv zimejiweka kulingana na mauidhui kama vile;
Channel za;
- Michezo
- Burudani
- Habari
- Watoto
- Muziki
- Maisha na Mitindo
- Maisha ya Kiafrika
- Dini
Channel zote zinazopatikana katika visimbuzi vya Azam TV vinajumuisha maudhui tuliyoyataja hapo juu
Channel zinazopatikana kwenye visimbuzi vya Azam TV
Hapa chini ni orodha ya channel zinazopatikana kwenye kisimbudhi cha Azam Tv kwa kuzingatia maudhui yatolewayo na channel hizo;
Channel za Michezo
- Azam Sports HD
- ESPN
- ESPN 2
Channel za Burudani
- Azam One
- Azam Two
- Sinema Zetu
- Bongo Movies
Channel za Habari
- BBC World News
- Al Jazeera English
- CNN
Channel za Watoto
- Nickelodeon
- Cartoon Network
- JimJam
- Baby TV
Channel za Muziki
- Trace Africa
- MTV Base
- Clouds TV
Channel za Maisha ya Kiafrika
- Africa Magic
- Maisha Magic Bongo
- Wasafi TV
Channel za Maisha na Mitindo
- Food Network
- Fashion TV
- Home TV: I
Channel za Dini
- EWTN
- Islamic TV
Kujiunga Na Azam Tv ili Kufurahia Channel Hizi
Ili uweze kujiunga na familia ya Azam Tv na kuweza kufurahia maudhui ya kuburudisha na kuelimisha kutoka kwenye channel tulizoziweka hapo juu wala usijali unaweza tu kufanya yafuatayo
1. Tembelea Ofisi za Azam Tv zilizoko Tazara jijini Dar es salaam au wakala yeyote wa Azam Tv walioko nchi zima na ununue kisimbuzi cha Azam Tv kiwe cha Dish au Athena
2. Funga kisimbuzi chako na kulipia kifurushi ukipendacho cha Azam Tv kulingana na kisimbuzi chako
- Kwa kisimbuzi cha Dishi au cha Athena Bonyeza HAPA
3. Furahia channel zote za Azam Tv nyumbani kwako.
Hitimisho
Licha ya Tanzania kuwa na aina tofauti tofauti ya visimbuzi vinavyorusha channel mbalimbali Azam Tv imekua ndio chaguo la walio wengi kwa kua na channel zeneye vipindi bora na vyenye kuvutia hasa kwa wapenzi wa channel za michezo. Azam Tv ndio kisimbuzi pekee chini Tanzania kinachorusha vipindi ya michezo ya ligi za Tanzania kama vile ligi kuu ya NBC na ile ya NBC Championship.