Orodha ya App Nzuri za Kuangalia Mpira Live Kwenye Simu, Habari ya wakati huu mwanaKisiwa24 Blog, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa mwongozo wa kuangalia mpira live kupitia simu janja yako.
Hapa tutakuonyesha App za kwenye simu aina ya simu janja ambazo unaweza kuzitumie kuweza kutizama mpira kupitia simu yako live
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Mahitaji ya Kuweza Kutizama Mpira Live Kupitia Simu Yako
Ili uweze kutizama mpira live kupitia simu yako lazima uwe na vitu vifuatavyo;
- Simu janja (Smart Phone)
- Uwezo wa kuunganisha na Internet
- Internet yenye kasi nzuri
- App inayorusha matangazo ya Mpira live
Hatua za Kufuata ili kuweza Kuangalia Mpira Live kwenye Simu Yako
Baada ya kua na mahitaji yako sasa ili uweze kutazama mpira live kupitia simu janja yako unapaswa kuweza kufuata hatua zifuatazo;
1, Kwanza kabisa chukua kifaa chako (simu) na uiunganishe na internet iwe ya mtandao wa simu au Wifi,
2, Baada ya kuunganisha simu yako na internet sasa nenda play store na upakue App utakayoitumia kuangalia mpira live, App hizo tutaziweka hapa chini baada ya hatua hizi
3, Baada ya kupakua App na kuistall kwenye simu yako, sasa unaweza kuifungua na kuanza matumizi
4, Kila App inamwongozo wake kwenye matumizi, baada ya kufungua App fuata maelekezo ili kuweza kutizama Mpira live kupitia simu yako.
5, Hadi kufikia hapo utakua unaweza kutizama mpira kupitia simu yako ya mkononi

App bora za Kuangalia Mpira Live Kupitia Simu Yako
Hapa chini ni baadhi ya App nzuri zaidi unazoweza kuzitumia kuweza kuangalia mpira live kupitia simu yako ya mkononi
Sifa za App Hizi za Kuangalia Mpira Live
- Hazitumii MB nyingi kwenye kuangalia mpira
- Nje ya channel za mpira pia unaweza kutizama habari za kidunia
- Ni nyepesi hazikwami kwami
- Zina kwaliti ya HD
Hapa chini ni app za kuweza kutizama mpira live kwa kupitia simu yako
1, CRIFY TV
Hii ni APK unayoweza kuipakua kutoka Google,
2, CNF Spots
CNF Sports ni moja miongoni mwa APP bora zaidi tulizowahi kuziona kwa urushaji wa matangazo ya mpira live ina channel bora zaidi za mpira na hutumia kiasi kidogo zaidi cha MB kwenye kuangalia mpira live
– App hii inapatikana Plya Store unaweza kubonyeza HAPA ili Kuipakua na kuinstall kwenye simu yako
Hasara za Kuangalia Mpira Live Kupitia Simu
- Gharama za matumizi ya ziada ya Data (MB)
- Madhara kwenye matumizi ya betri ya simu
- Inaweza sababisha madhara ya macho kwa kutizama mwanga wa simu kwa muda mrefu
Hitimisho
Kutokana na maenedeleo ya kiteknolojia ya wakati huu kumekua na urahisi ziaidi kwani badara ya kutumia kifaa kikubwa zaidi kuangalia mpita live na kufanya malipo kwenye kampuni zinazo rusha matangazo ya mpira sasa kupitia simu yako ya mkononi na App unaweza kuangalia mpira live kwa kulipia Data kidogo tu.
Embu kama Kuna App nyingine unazifahamu za kuangalia mpira live kwenye Simu basi weka kwenye komenti ili na wengine wazifahamu.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Cv ya Sead Ramovic Kocha Mpya wa Klabu ya Yanga
2. Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025
3. Nafasi ya Yanga Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025