Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Makala»Orodha ya App 69 Za Mikopo Zilizofungiwa na Bot
Makala

Orodha ya App 69 Za Mikopo Zilizofungiwa na Bot

Kisiwa24By Kisiwa24June 7, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Orodha ya App 69 Za Mikopo Zilizofungiwa na Bot

Habari mwanahabarika24, Karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukuonyesha orodha ya application 69 za utoaji mikopo kidijitali ambazo zimefungiwa utoaji wa huduma hizo kutokana na sababu kadha wa kadha.

Kutokana na maendeleo ya kitekinolojia Tanzania imeshuhudia ongezeko kubwa na huduma za mikopo ya kifedha kwa njia ya mtando. Hii ni kutokana na mahitaji ya kidharura ya kifedha kwa watanzania waliowengi.

Ongezeko hili limepelekea kuwepo hata kwa application za kitapeli nabzenye liba kubwa hata kuwepo kwa application/ taasisi zinazotoa huduma pasi na kukidhi vigezo.

Banki kuu ya Tanzania BOT imefikia maamuzi ya kufungia taasisi (Application) 69 kutokana na kutokua nablesini na kutokukidhi zigezo vya utoaji huduma hizo za mikopo ya pesa kwa mujibu wa BOT.

BOT imetia katizo la program hizo 69 kito endelea na utoaji wa huduma hizo za mikopo ya kifedha na kuutaadharisha umma kutotumia program hizo kwani hazina vibali wala leseni.

Orodha ya App 69 Za Mikopo Zilizofungiwa na Bot

Hapa chini ni orodha ya App 69 zilizofungiwa na BOT

  1. BoBa Cash,
  2. Bolla Kash-Bolla Kash
  3. Financial Credit,
  4. BongoPesa
  5. Personal Online Loan,
  6. Cash Mkopo,
  7. Cash Pesa,
  8. Cash poa,
  9. Cash mama,
  10. CashX,
  11. Credit Land,
  12. Eaglecash Tz,
  13. Fast Mkopo,
  14. Flower Loan n
  15. Fun Loan
  16. Fundflex,
  17. Get cash,
  18. Get loan,
  19. Getpesa Tanzania,
  20. Hakika loan,
  21. Hewa Mkopo,
  22. Hi cash,
  23. HiPesa,
  24. Jokate Foundation Imarisha Maisha,
  25. Kopako pa,
  26. Kwanza loan,
  27. L-pesa Microfinance,
  28. Land cash,
  29. Loanplus,
  30. M-Safi,
  31. Mkopo Express,
  32. Mkopo Extra,
  33. Mkopo haraka
  34. Mkopohuru
  35. Mkoponafuu,
  36. Mko powako,
  37. Money Tap,
  38. Mpaso chap loan Mkopo kisasa,
  39. Mum loan,
  40. My credit,
  41. Nikopeshe App,
  42. Nufaika Loans,
  43. Okoa Maisha Mkopofast,
  44. Pesa M,
  45. Pesa Rahisi,
  46. PesaPlus,
  47. PesaX,
  48. Pocket loan,
  49. Pop Pesa,
  50. Premier loan,
  51. Safe pesa
  52. SasaMkopo
  53. Silk loan,
  54. Silkda Credit,
  55. Soko loan,
  56. Sunloan,
  57. Sunny Loan,
  58. Swift Fund,
  59. TALA,
  60. TikCash,
  61. Twiga Loan,
  62. TZcash,
  63. Umoja,
  64. Usalama
  65. Uwakika,
  66. Mkopo Dk15,
  67. Ustawi loan,Viva Mkopo Limited,
  68. VunaPesa
  69. Yes Pesa na Zima Cash.

Benki kuu ya Tanzania BOT inashilikiana kwa karibu na mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) ili kuhakikisha program hizo zote zinafungiwa mna kuacha kufanya kazi kwakua hazikukidhi zigezo wala kua nalesseni.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleDawa ya Kuongeza Uume kwa Siku 7
Next Article NAFASI za Kazi Halmashauri ya Jiji la Mwanza June 2025
Kisiwa24

Related Posts

Makala

Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker

October 9, 2025
Makala

Jinsi ya Kuwasha Rice Cooker

October 9, 2025
Makala

Jinsi ya kupika Maharage kwenye Rice cooker

October 8, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025777 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025439 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025415 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.