LATRA: Nauli Mpya Za Mabasi Ya Mikoani
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Nauli mpya za mabasi ya mikoani, LATRA Nauli za mabasi mikoa yote, Habari mwana Habarika24, Karibu katika makala hii mpya itakayoenda kukupa mwongozo wa viwango vipya vya nauli vilivyotolewa na LATRA kushirikiana na wadau wa usafirishaji nchini Tanzania.
Nauli Mpya za Mabasi ya Mikoani 2024 LATRA
Katika makala hii tutaenda elezea kuhusu njia ya Gari hasa usafiri wa Mabasi
TATRA ni mamlaka inayojihusisha na usimamizi na udhibiti wa sekta ya usafiri wa aridhini nchini Tanzania. Kwa mwaka 2024 mamlaka hii ya udhibiti wa usafiri wa aridhini imeweza kutoa viwango vipya vya nauli kwa mabasi ya masafamalefu(mikoani). Viwango hivi vipya vya nauli vilivyotolewa na LATRA vimefanywa kwa LATRA kushirikiana na wadau mbali mbali katika sekta ya usafiri hasa upande wa mabasi.

Mambao ya Kuzingatia Kuhusu Nauli Za Mabasi
Kabla hatujaona viwango vipya vya nauli kwa mabasi yaendayo mikoani zilizo tolewa na LATRA hatuna budi kujua ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia katika kugawa viwango hivyo vya nauli. Hapa chini tunaenda kukuonyesha kwa kifupi mambo hayo ya kuzingatia;
1. Daraja la Basi
Kwenye kupanga nauli za mabasi daraja la basi huzingatiwa na hiki ndio kigezo cha msingi kinachotoa utofauti kutoka basi moja kwenda basi jingine japo kua yote yanatoka mkoa mmoja na kwenda mkoa mmoja.
- Basi za Darala juu (Luxury bus)
- Basi za Daraja la Kati (Semi Luxury bus)
- Basi za Daraja la Chini (Ordinary Bus)
Kwa Kuzingatia madaraja hapo juu hufanya kuwepo kwa tofauti za nauli kutoka basi moja kwenda basi jingine.
2. Huduma Zitolewazo Ndani ya Basi
Pia viwango vya huduma zinazopatikana ndani ya basi wakati wa safari huperekea kuwepo kwa utofauti wa nauli. Kuna baadhi ya mabasi hasa ya Daraja la Juu na kati hutoa baadhi ya huduma wa abiria wao na yale ya daraja la chini hayatoi huduma hizo.
Mfano wa huduma zitolewazo na mabasi ya Luxury na Semi Luxury ni pamoja na,
- Huduma za Runinga
- Huduma za Vinywaji na Vitafunwa
- Huduma za Internet kupitia Wifi
- Na hata huduma za vyoo.
Nauli Mpya za Mabasi ya Mikoani
Hapa chini tunaenda angazia nauli za mabasi ya Mikoani kutokana na mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa usafiri wa aridhini LATRA ikishirikiana na wadau wa usafiri wa mabasi. Nauli hizi tunazoenda kuzijadili ni kuanzia mkoa wa Dar es Salaam kwenda mikoa mingine ya Tanzania.
Dar Es Salaam Kwenda Arusha
Kupitia – Bagamoyo
Nauli Daraja La kawaida Tsh 3000
Nauli Daraja La Juu Tsh 42,000
Dar Es Salaam Kwenda Arusha
Kupitia – Chalinze
Nauli Daraja La kawaida Tsh 30,000
Nauli Daraja La Juu Tsh 42,000
Dar Es Salaam Kwenda Babati
Kupitia – Bagamoyo-Arusha
Nauli Daraja La kawaida Tsh 38,000
Nauli Daraja La Juu Tsh 53,000
Dar Es Salaam Kwenda Babati
Kupitia – Chalinze-Arusha
Nauli Daraja La kawaida Tsh 38,000
Nauli Daraja La Juu Tsh 53,000
Dar Es Salaam Kwenda Babati
Kupitia – Dodoma-Kondoa
Nauli Daraja La kawaida Tsh 33,000
Nauli Daraja La Juu Tsh 47,000
Dar Es Salaam kwenda Babati
Kupitia – Dodoma-Singida-Katesh
Nauli Daraja La kawaida Tsh 41,000
Nauli Daraja La Juu Tsh 57,000
Dar Es Salaam kwenda Bariadi
Kutpitia Dodoma-Shinyanga
Nauli Daraja La kawaida Tsh 54,000
Nauli Daraja La Juu Tsh 76,000
Dar Es Salaam kwenda Bukoba
Kupitia – Chato
Nauli Daraja la kawaida Tsh 70,000
Nauli Daraja la Juu Tsh 97,000
Dar Es Salaam kwenda Bukoba
Kupitia – Lusahunga_Muleba
Nauli Daraja la kawaida Tsh 68,000
Nauli Daraja la Juu Tsh 96,000
Dar Es Salaam kwenda Bumbuli
Kupitia – Bagamoyo-Mombo-Soni
Nauli daraja la kawaida Tsh 17,000
Nauli daraja la juu Tsh 24,000
Dar Es Salaam kwnda Bumbuli
Kupitia – Chalinze-Mombo-Soni
Nauli daraja la kawaida Tsh 17,000
Nauli daraja la Juu Tsh. 24,000
Dar Es Salaam kwenda Chunya
Kupitia – Iringa-Mbeya
Nauli daraja la kawaida Tsh 42,000
Nauli daraja la Juu Tsh. 59,000
Dar Es Salaam kwenda Daluni
Kupitia – Bagamoyo-Msata-Korogwe
Nauli daraja la kawaida Tsh. 18,000
Nauli daraja la juu Tsh. 24,000
Dar Es Salaam kwenda Daluni
Kupitia – Chalinze- Msata-Korogwe
Nauli ya Daraja la Kawaida Tsh. 18,000
Nauli ya Daraja la Juu Tsh. 24,000
Dar Es Salaam kwenda Dodoma
Kupitia Morogoro
Nauli ya Daraja la kawaida Tsh. 21,000
Nauli ya daraja la Juu Tsh. 29,000
Dar Es Salaam kwenda Geita
Kupitia – Dodoma-Kahama-Kakola
Nauli daraja la kawaida Tsh. 55,000
Nauli daraja la kati Tsh. 77,000
Dar Es Salaam Geita Dodoma-Kahama-Ushirombo 60,000 85,000
Dar Es Salaam Geita Dodoma-Usagara-Busisi 59,000 82,000
Dar Es Salaam Gonja- Maore Chalinze-Mkomazi 20,000 28,000
Dar Es Salaam Handeni Chalinze-Mkata 12,000 17,000
Dar Es Salaam Horohoro Chalinze-Segera-Tanga 19,000 27,000
Dar Es Salaam Ifakara Chalinze- Mikumi 20,000 28,000
Dar Es Salaam Iringa Morogoro 23,000 32,000
Dar Es Salaam Itigi Morogoro-Dodoma 29,000 40,000
Dar Es Salaam Kahama Dodoma-Tinde 49,000 68,000
Dar Es Salaam Karatu Bagamoyo – Arusha 37,000 52,000
Dar Es Salaam Karatu Chalinze – Arusha 37,000 52,000
Dar Es Salaam Kasulu Dodoma-Tinde-Lusahunga-Bukoba 70,000 96,000
Dar Es Salaam Katesh Dodoma-Kondoa 36,000 51,000
Dar Es Salaam Katesh Morogoro-Dodoma-Singida 37,000 52,000
Dar Es Salaam Katoro Dodoma-Tinde-Kahama 58,000 82,000
Dar Es Salaam Kayanga Dodoma-Runzewe-Chato-Bukoba 74,000 104,000
Dar Es Salaam Kayanga Dodoma-Tinde-Chato-Bukoba 75,000 105,000
Dar Es Salaam Kibaya Chalinze-Kongwa 22,000 30,000
Dar Es Salaam Kigoma Kahama- Nyakanazi 73,000 103,000
Dar Es Salaam Kigoma Manyoni-Itigi-Tabora-Uvinza 59,000 83,000
Dar Es Salaam Kilombero-Mkamba Mikumi-Ifakara 16,000 22,000
Dar Es Salaam Kilosa Chalinze-Morogoro 13,000 18,000
Dar Es Salaam Kiomboi Dodoma-Singida 44,000 62,000
Dar Es Salaam Kondoa Morogoro-Dodoma 29,000 40,000
Dar Es Salaam Kongowe Kibaha 1,000 2,000
Dar Es Salaam Kyela Chalinze-Iringa-Uyole 44,000 61,000
Dar Es Salaam Lindi Kibiti 23,000 32,000
Dar Es Salaam Liwale Nangurukuru 27,000 36,000
Dar Es Salaam Lunguza Bagamoyo-Msata-Korogwe 20,000 27,000
Dar Es Salaam Lunguza Chalinze-Korogwe 20,000 27,000
Dar Es Salaam Lushoto Chalinze-Mombo 17,000 24,000
Dar Es Salaam Magindu Chalinze 5,000 7,000
Dar Es Salaam Mahenge Morogoro-Mikumi-Ifakara 23,000 31,000
Dar Es Salaam Makanya Bagamoyo-Mombo -Hedaru 20,000 28,000
Dar Es Salaam Makanya Chalinze-Mombo -Hedaru 20,000 28,000
Dar Es Salaam Malinyi Morogoro-Mikumi-Ifakara 5,000 7,000
Dar Es Salaam Mamba-Myamba Chalinze-Mkomazi 20,000 28,000
Dar Es Salaam Manyoni Morogoro-Dodoma 27,000 38,000
Dar Es Salaam Matui Morogoro- Gairo-Kongwa 22,000 30,000
Dar Es Salaam Mazinde Bagamoyo-Mombo-Soni 16,000 23,000
Dar Es Salaam Mazinde Chalinze-Mombo-Soni 16,000 23,000
Dar Es Salaam Mbambabay Chalinze-Iringa-Songea 53,000 74,000
Dar Es Salaam Mbambabay Lindi-Masai-Songea 60,000 84,000
Dar Es Salaam Mbeya Morogoro 40,000 56,000
Dar Es Salaam Mbinga Chalinze-Iringa-Songea 50,000 69,000
Dar Es Salaam Mbinga Lindi-Masai-Songea 57,000 79,000
Dar Es Salaam Mkalama Morogoro-Dodoma-Singida 38,000 53,000
Dar Es Salaam Mkata Chalinze-Msata 10,000 14,000
Dar Es Salaam Mkwaja Bagamoyo-Mkata 14,000 19,000
Dar Es Salaam Mkwaja Chalinze-Mkata 14,000 19,000
Dar Es Salaam Mlali Chalinze-Morogoro-Gairo 17,000 23,000
Dar Es Salaam Mlimba Mikumi-Ifakara 27,000 37,000
Dar Es Salaam Mlola Bagamoyo-Mombo-Soni 19,000 27,000
Dar Es Salaam Mlola Chalinze-Mombo-Soni 19,000 27,000
Dar Es Salaam Monduli Chalinze-Arusha 33,000 46,000
Dar Es Salaam Morogoro Chalinze 9,000 13,000
Dar Es Salaam Moshi Bagamoyo 25,000 36,000
Dar Es Salaam Moshi Chalinze 26,000 37,000
Dar Es Salaam Mpalalu Bagamoyo-Mombo-Soni 18,000 25,000
Dar Es Salaam Mpalalu Chalinze-Mombo-Soni 18,000 25,000
Dar Es Salaam Mpanda Itigi-Tabora 57,000 79,000
Dar Es Salaam Mpanda Mbeya-Tunduma-Kisi_Kibaoni 67,000 93,000
Dar Es Salaam Mpanda Mbeya-Tunduma 66,000 92,000
Dar Es Salaam Mpwapwa Gairo-Bugiri 25,000 35,000
Dar Es Salaam Mtwara Lindi 28,000 39,000
Dar Es Salaam Musoma Bagamoyo-Arusha-Karatu- Butiama 56,000 77,000
Dar Es Salaam Musoma Bagamoyo-Arusha-Karatu-Kiagata 57,000 78,000
Dar Es Salaam Musoma Bariadi 62,000 86,000
Dar Es Salaam Musoma Chalinze-Arusha-Karatu-Butiama 56,000 77,000
Dar Es Salaam Musoma Chalinze-Arusha-Karatu-Kiagata 57,000 78,000
Dar Es Salaam Musoma Mwanza 66,000 92,000
Dar Es Salaam Mvumi Chalinze-Morogoro 14,000 18,000
Dar Es Salaam Mwanza Dodoma 55,000 78,000
Dar Es Salaam Mzenga Mlandizi 2,000 3,000
Dar Es Salaam Namanga Bagamoyo-Arusha 34,000 48,000
Dar Es Salaam Namanga Chalinze-Arusha 34,000 48,000
Dar Es Salaam Namtumbo Lindi-Masasi-Tunduru 49,000 68,000
Dar Es Salaam Ngerengere Chalinze-Ubenazomoni 6,000 9,000
Dar Es Salaam Njombe Chalinze=Iringa 34,000 48,000
Dar Es Salaam Nzega Morogoro-Dodoma-Singida 43,000 60,000
Dar Es Salaam Pangani Chalinze-Tanga 18,000 25,000
Dar Es Salaam Rombo -Tarakea Chalinze-Mombo-Mwanga 28,000 39,000
Dar Es Salaam Rombo -Tarakea Chalinze-Mombo-Mwanga 28,000 40,000
Dar Es Salaam Rombo-Mkuu Bagamoyo-Himo-Mwika 27,000 38,000
Dar Es Salaam Rombo-Mkuu Chalinze-Mombo-Mwanga 27,000 38,000
Dar Es Salaam Rombo-Mkuu Chalinze-Mombo-Mwanga 27,000 38,000
Dar Es Salaam Same Bagamoyo-Mombo -Hedaru 21,000 30,000
Dar Es Salaam Same Chalinze-Mombo -Hedaru 21,000 30,000
Dar Es Salaam Shinyanga Dodoma 47,000 66,000
Dar Es Salaam Singida Dodoma 33,000 46,000
Dar Es Salaam Songe Chalinze-Mkata-Handeni 18,000 25,000
Dar Es Salaam Songea Lindi- Masasi 52,000 73,000
Dar Es Salaam Songea Morogoro-Njombe 46,000 64,000
Dar Es Salaam Sumbawanga Itigi-Tabora-Mpanga 68,000 95,000
Dar Es Salaam Sumbawanga Mbeya 55,000 77,000
Dar Es Salaam Tabora Itigi 39,000 55,000
Dar Es Salaam Tabora Nzega 49,000 68,000
Dar Es Salaam Tanga Bagamoyo 16,000 22,000
Dar Es Salaam Tanga Chalinze 17,000 23,000
Dar Es Salaam Tarime Dodoma-Shinyanga-Bariadi 64,000 89,000
Dar Es Salaam Tarime Dodoma-Shinyanga-Bariadi 64,000 89,000
Dar Es Salaam Tukuyu Iringa-Uyole 42,000 59,000
Dar Es Salaam Tunduma Chalinze 45,000 63,000
Dar Es Salaam Tunduru Lindi-Masasi 39,000 55,000
Dar Es Salaam Turiani Dumila 14,000 19,000
Dar Es Salaam Ubaruku Iringa-Makambako-Igawa 34,000 48,000
Dar Es Salaam Usangi Chalinze-Mombo-Same 25,000 34,000
Dar Es Salaam Vwawa Chalinze-Mbeya 45,000 63,000
Njia za Usafiri Tanzania
Kwa abiria au msafiri yoyote nchini Tanzania anaweza kusafiri kutoka Mkoa wa Dar es salaam kwenda Mkoa mwingine wowote ule ndani ya nchi ya Tanzania kwa njia tofauti tofauti. Hapa tunatoa njia za usafiri ambazo msafiri aliyeko jijini Dar es salaam anaweza kutumia kwenda mikoa mingine,
- Njia ya Gari
- Njia ya Ndege
- Njia ya Treni
- Njia ya Meli au Boti
Machaguo ya Mhariri;
2. Mabasi ya Dar Kwenda Dodoma Kila siku
3. Nauli ya Basi Dar Kwenda Dodoma
4. Mabasi ya Dar Kwenda Dodoma
5. Nauli Za Mabasi Ya Dar To Morogoro
6. Kampuni Za Mabasi Ya Dar To Morogoro
7. Mshahara wa Rais wa Tanzania