Nauli Mpya Za Basi Dar es Salaam Kwenda Babati – LATRA
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Nauli Mpya Za Basi Dar es Salaam Kwenda Babati, nauli ya basi kutoka Dar to Babati, hapa tutaenda kuangazia nauli mpya za mabasi yanayofanya safari zake kutokea Dar es Salaam kwenda Babati na Babati kwenda Dar es Salaam. Kama unataka kusafir ndani ya mikoa hii miwli basi ni vyema ukatambua kwanza nauli za mabasi yanayofanya safari zake ndani ya mikoa hii.
LATRA Ni Nini
lATRA ni mamlaka inayojihusisha na udhibiti wa usafiri wa aridhini. LATRA ikishitikiana na wadau wa usafiri wa aridhini upande wa mabasi hukaa pamoja na kujadiri kuhusu nauli za mabasi ya masafa marefu.
Nauli Mpya Za Basi Dar es Salaam Kwenda Babati
Aina ya Mabasi Yanayofanya Safari kati ya Dar to Babati
kwa safari za kutokea Dar es Salaam kwenda Babati na Babati kwenda Dar basi kuna aina tatu za mabasi yaani
- Mabasi y Daraja la Juu (Luxury bus)
- Mbasi ya Daraja la kati (Semi Luxury Bus)
- Mabasi ya Daraja la Kawaida ( Ordinary bus)
Hivyo basi hapa tutaenda kujadili nauli za mabasi ya aina yote yanayofanya safari zake kati ya Dar es salaam na Babati
Nauli Mpya Za Basi Dar es Salaam Kwenda Babati
Nauli hizi za mabasi kwa mujibu wa LATRA zimeweza kupangwa kulingana na madaraja ya mabasi husika.Hapa chini tunaenda kukuwekea nauli mpya za mabasi kutoka Dar es Salaam kwenda Babati

Nauli ya Basi kutoka Dar es Salaam kwenda Babati Kupitia Bagamoyo- Arusha( Umbali wa km 784)
-Mabasi ya Daraja la kawaida (Ordinary Bus)
- Nauli ya zamani 32,000
- Nauli mpya 38,000
– Mabasi ya Dataja la kati na Juu (Semi Luxury anad Luxury Bus)
- Nauli ya zamani 45,000
- Nauli mpya 53,000
Nauli ya Basi kutoka Dar es Salaam kwenda Babati Kupitia Chalinze – Arusha ( Umbali wa km 785)
-Mabasi ya Daraja la kawaida (Ordinary Bus
- Nauli ya zamani 32,000
- Nauli mpya 38,000
– Mabasi ya Dataja la kati na Juu (Semi Luxury anad Luxury Bus)
- Nauli ya zamani 45,000
- Nauli mpya 53,000
Nauli ya Basi kutoka Dar es Salaam kwenda Babati Kupitia Dodoma – Kondoa ( Umbali wa km 690)
-Mabasi ya Daraja la kawaida (Ordinary Bus
- Nauli ya zamani 28,000
- Nauli mpya 33,000
– Mabasi ya Dataja la kati na Juu (Semi Luxury anad Luxury Bus)
- Nauli ya zamani 39,000
- Nauli mpya 47,000
Nauli ya Basi kutoka Dar es Salaam kwenda Babati Kupitia Dodom – Singida Katesh ( Umbali wa km 785)
-Mabasi ya Daraja la kawaida (Ordinary Bus_
- Nauli ya zamani 35,000
- Nauli mpya 41,000
– Mabasi ya Dataja la kati na Juu (Semi Luxury anad Luxury Bus)
- Nauli ya zamani 48,000
- Nauli mpya 57,000
Kampuni za Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Arusha
Kuna kampuni nyingi za mabasi ambazo hufanya safari zake kutokea Dar kwenda Arusha na Arusha kwenda Dar es Salaam , kama unahitaji kuzijua kwa undani basi bonyeza hapa.
Hitimisho
Kama ulikua unataka kusafiri ukitokea Dar es Salaam kwenda Babati au Babati kwenda Dar basi nafikili utakua umeweza kuon nauli ya mabasi kulingana na daraja la basi husika lakini kumbu ya kua nauli hizi zinaweza kubadilika kutokana na sababu mbali mbali kama vile mabadiliko ya hali ya hewa na upandaji au ushukaji wa bei za mafuta.
Kwa maelezo zaidi tembelea LATRA kwa kubonyeza HAPA
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Nauli Mpya Za Basi Dar es Salaam Kwenda Arusha
2. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Njombe
3. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Tanga
4. Mabasi ya Dar Kwenda Mtwara
5. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Musoma
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku