NAFASI za Kazi Zilizotangazwa Leo UTUMISHI July 2025
Sekretarieti ya Ajira ni chombo muhimu cha serikali nchini Tanzania kinachoshughulikia usimamizi wa ajira katika Sekta ya Umma. Chombo hiki kina jukumu la kuweka mfumo thabiti wa kuandaa, kusambaza, kufuatilia, na kudhibiti nafasi za ajira zote za serikalini. Lengo lake kuu ni kuhakikisha kuwa michakato yote ya ajira inaendeshwa kwa ufanisi, uwazi, na haki kwa wote wanaohitaji kutumika katika sekta hiyo muhimu. Sekretarieti hii hufanya kazi kwa kushirikiana kwa karibu na wizara, idara, na mashirika mbalimbali ya serikali ili kuwezesha upatikanaji wa wafanyakazi wenye sifa na uwezo unaohitajika.
Katika utendaji wake wa kila siku, Sekretarieti ya Ajira huwa na wajibu wa kutangaza nafasi wazi za kazi kupitia vyombo rasmi, kukusanya maombi ya watafutaji kazi, na kusimamia michakato ya uteuzi ili kuhakikisha kuwa inafuata kanuni na taratibu zilizowekwa. Pia inachukua jukumu la kuandaa na kusambara taarifa kuhusu fursa za ajira na mabadiliko yanayohusu ajira za umma kwa umma. Kwa kufanya hivyo, Sekretarieti ya Ajira inachangia kwa kiasi kikubwa katika kuimarisha utawala bora, kupunguza ukiritimba, na kuhakikisha usawa na uadilifu katika usambazaji wa fursa za ajira katika sekta ya umma ya Tanzania, na hivyo kuleta imani ya umma katika mifumo ya ajira ya serikali.
Soma Pia;
- Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kwenye Usaili Utumishi
- MAMBO ya Kuzingatia Unapoitwa Kwenye Usaili Ajira Portal
NAFASI za Kazi Zilizotangazwa Leo UTUMISHI
Ili kuweza kusoma aina ya kazi, vigezo na jinsi ya kutuma maombi tafadhari bonyeza kwenye kila tangazo la kazi hapo chini
Naomba kufanya kazi katika kampuni yenu
Naomba kufanya kazi pamoja nanyi katika taasis yenu kama hamtojali
Tunashukuru sana Serikali yetu ya Jamuhuri ya Muungani wa Tanzania chini ya Uongozi wake SSH kwa kutoa fursa mbalimbali za ajira nchini. Hakika deni lake tutamlipa kwenye sanduku la Kura 2025
Naomba kupata kazi kwenye ofisi zenu
Tunashukuru jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kutupa nafasi , naomba kupata kazi kwenye taasisi mojawapo kati hizi , ahsante Dr samia suruhu hasani na watendaji wote mwenyenzi Mungu awape afya njema
Tunashukuru jamhuri ya muungano wa Tanzania 🇹🇿 , naomba kupata nafasi ya kazi katika taasisi tajwa
Machaguo ni mazuri naomba kupata nafasi mojawapo kati zilizoorodheshwa
Naomba kufanyakazi katika kampuni yenu
Naomba kuwa mojawapo katika kulijenga taifanampenda rais naipenda Tanzania kwapamoja tunaweza
Naomba kuwa mojawapo katika kulijenga taifa nampenda rais naipenda Tanzania kwapamoja tunaweza
Jamani afisa maendeleo ya jamii naomba tujuane jaman ikitokea Kaz tujuzane Naona watu wanaitwa interview lakin mm sioni matangazo ya kaz
Naomba nafasi ya kufanya kazi katika kampuni yenu.
Hongereni kwa kazi nzuri japo nimefanya written interview na sikuchaguliwa huenda haikuwa riziki yangu.
Mungu atakusimamia tunatumaini ipo nafasi usikate tamaa
Tunashukuru sana , Mimi naomba kupata hata nafasi ya utendaji wa mtaa tu, Niko tayari. Ahsante
Naitajikufanya kazi kwenye kampuni yenu
For sure I needto work in government but not yet got it.
My name is ephrahim Charles mwakabenga I’m interested to join in this job opportunity
I’m interested to join in our job opportunities thank you
Naomba kazi nimesomea diploma in business administration
I’m learning about monitoring and evaluation in mzumbe university in degree level naomba kufanya kazi katika taasisi yenu kwa pamojaa tunaweza
Naombeni mnipatie kazi yoyote serikarin elimu yangu ni4m4 ninamika 24 naomben kaz hata yakudek maabala
Naomba kaz kwenye kampun yenu
I would like to apply for a job to your company